donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Walikuwa na akili lakini wakakosa maarifaSehemu ya fedha zilizokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoani Iringa kutoka kwa watuhumiwa wa wizi wa zaidi ya BILIONI 2 walioufanya kwa 'kuingilia' mfumo wa Kampuni ya Selcom Paytech! View attachment 2115933View attachment 2115935
Tumia brozaHaifunguki[emoji1787]
NimepamissView attachment 2115549
Ngoja nijifunze kuogelea 🏊
Dadeq aisee!Sehemu ya fedha zilizokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoani Iringa kutoka kwa watuhumiwa wa wizi wa zaidi ya BILIONI 2 walioufanya kwa 'kuingilia' mfumo wa Kampuni ya Selcom Paytech! View attachment 2115933View attachment 2115935
hawa jamaa cjui wamekosea wapiDadeq aisee!
Kumbe 2b sio hela za kubeza..dah!
hawa jamaa cjui wamekosea wapi
Wamekosea pakubwa sana!hawa jamaa cjui wamekosea wapi
nimesoma huo mchongo.kn mistake na blunder ya kutosha. Ila sio mby wamethubutu wamewezaWamekosea pakubwa sana!
dah inawezekana, lkn pia hy matumizi nayo makubwa sana.muda waliohamisha mzigo naoItakua kuna mtu kawachoma tu, ila napo wajinga walianza kununua mafuso, sijui magari...badala wangetulia hata miaka miwili kwanza wasome upepo
Shemeji to be[emoji16]Nakutafuta sana ukija Selfika nistue.
Upo online nikutumie kitu!!??Shemeji to be[emoji16]
Nna vitu vyenu vi noma sanaa!dah inawezekana, lkn pia hy matumizi nayo makubwa sana.muda waliohamisha mzigo nao
Wezesha [emoji1787]Upo online nikutumie kitu!!??
Yeeeh yeeeehUpo online nikutumie kitu!!??
Tuma hicho kitu ssenga wangeUpo online nikutumie kitu!!??
Mkuu Una Sura ya kikongoman..km falii ipupa Yani[emoji3]
Usitoke hapo nikuoneshe kama mtawezanaYeeeh yeeeeh
Ghetto la muhuni utalijua Tu..[emoji28]