Nitashukuru halafu ukinitag usifute dear wengine kuna muda kazi zinabana hadi hupati hata muda wa kushika simu halafu ukishika unakuta huku mambo yashakupita mia kidogo
Japo najua hizo ni shida zangu ila ni ombi tu lakini
Au kama ukiona vigumu sana unaweza hata ukanitupia tu pm chap halafu inakuwa siri yangu