Nijuavyo mimi mu-shaija ni mwanaume kwa ile lugha yetu ya kimataifa; na ka- katika ka-shaija ni kiambatishi dogoshi pendezeshi kama ilivyo kwenye m-toto ~ ka-toto. Nimetumia neno Kashaija kwa maana hiyo jumuishi. Ningekulenga wewe, maadamu nalijua jina lako halisi, basi ningesema kabisa
Kashaija72 ili kukwepa utata.
Tuko pamoja mkuu
...
Ila Dodoma tunakuja tu