reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,426
- 29,306
Kizuri sana hiko a monkey who sold his Ferrari niazime rafiki nimalizieNight's readings View attachment 2101759
Kizuri sana hiko a monkey who sold his Ferrari niazime rafiki nimalizieNight's readings View attachment 2101759
mie utaniua usifanye hivi rafikiNawapa muda mnimis!
Usijali mkuu, nikimaliza nitakuazimaKizuri sana hiko a monkey who sold his Ferrari niazime rafiki nimalizie
Ntashukuru sana naona kwenye simu siinjoi then macho yanauma nkisoma sanaa!Usijali mkuu, nikimaliza nitakuazima
Umeachiwa mateka 😄😄Nawapa muda mnimis!
Aahh unakufaje kirahisi hivo wee mjeda!!?mie utaniua usifanye hivi rafiki
Habari za jumapili asee!!Umeachiwa mateka 😄😄
umefaidi kupotea eeeh.. tupia basi.. sio kufichwa hukoHabari za jumapili asee!!
Ntatupia badae kidogo... ukilala ukapitwa tusilaumiane!umefaidi kupotea eeeh.. tupia basi.. sio kufichwa huko
na hapa nilikuwa navua boksa na vest niingie kupumzisha fuvu.. huenda leo sibahati yangu acha nilale tuNtatupia badae kidogo... ukilala ukapitwa tusilaumiane!
Poapoa usiku mwema basi.na hapa nilikuwa navua boksa na vest niingie kupumzisha fuvu.. huenda leo sibahati yangu acha nilale tu
Mwamba ndo unalalaje ivoo...na hapa nilikuwa navua boksa na vest niingie kupumzisha fuvu.. huenda leo sibahati yangu acha nilale tu
Mkuu umenigaya sanaPoapoa usiku mwema basi.
Hapana sijakugaya mwaya was a little bize!Mkuu umenigaya sana
Me mpaka naumwa kukukosa hapa..Hapana sijakugaya mwaya was a little bize!
Pole jamani. Nimekuja sasa kwanza tabasamu nione basi!!Me mpaka naumwa kukukosa hapa..
😀😀😀😀..Mwamba ndo unalalaje ivoo...
We mkulungwa ujue.
Hahahaaa.....Mwamba ndo unalalaje ivoo...
We mkulungwa ujue.
Thank you rafiki! Black ... mzuri mzuriPata hilikwa mbaalii
Ukishafanya yale mambo yako ninayoyaelewa mdo litakuja batasam fuluuView attachment 2101886