kama ulikuwepo umelemga mulemule yaani 100%correct hujaacha kitu!!!
Sasa Mimi sio wa hvyoo!I do prefer love over everything!baba angu aliniambiaga ndoa ni mapenzi na huruma vikikosekana hvyo hamna ndoa hapo kuna mateso ya milele na nimekataa kunyanyasika Mimi.
Kuhusu kujua asili yao ni lazima wajue asili yao na every likizo hua nawauliza mnaenda wapi,Bariadi,Mwanza,tabora au Shinyanga kwa uncles zao na wanawapenda sana tuuu!hawana shida na watoto siwezi wadanganyia na nahitaji wakajifunze lugha yao ya asili.
Ujinga wa kuwakatalia watoto sins na siwezi Fanya hvyo maana watoto ndo ntawaumiza.