Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 29, 2022 #143,661 Brian Spilner said: Okay, asanteeh Click to expand... ππΏ
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jan 29, 2022 #143,662 mahondaw said: Hahahaaa..wewe teinaaa!! Hujani alert tu mbona naahirisha kabisa kwenda na mtu chake weee kwaile selfie uuwiii !!! Click to expand... hahahahaha.unanitupa ghafla hv
mahondaw said: Hahahaaa..wewe teinaaa!! Hujani alert tu mbona naahirisha kabisa kwenda na mtu chake weee kwaile selfie uuwiii !!! Click to expand... hahahahaha.unanitupa ghafla hv
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Jan 29, 2022 #143,663 Kashaija72 said: Saa nane usiku!!! Nasubiri Click to expand... Wait!!tena nitag kabisaa km ntakua mmesahau maana mida hyo Leo ntakua machoo Mungu akipenda
Kashaija72 said: Saa nane usiku!!! Nasubiri Click to expand... Wait!!tena nitag kabisaa km ntakua mmesahau maana mida hyo Leo ntakua machoo Mungu akipenda
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Jan 29, 2022 #143,664 Brian Spilner said: Kashaija72 Mkuu utakesha bure. reymage usiku anakaushia watu huyoo... muulize alichotufanyia jana. Click to expand... janaΓ !???kwani nliwaambia ntarusha? Leo ahadi ni deni!t
Brian Spilner said: Kashaija72 Mkuu utakesha bure. reymage usiku anakaushia watu huyoo... muulize alichotufanyia jana. Click to expand... janaΓ !???kwani nliwaambia ntarusha? Leo ahadi ni deni!t
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jan 29, 2022 #143,665 mahondaw said: Ni vizuri akijua tu Ili ajue nimeahirisha na nimeenda kwingine intentionally kabisa . Saivi bado Nina usingizi ! Click to expand... hahahaha yaani live,unani.,.dah
mahondaw said: Ni vizuri akijua tu Ili ajue nimeahirisha na nimeenda kwingine intentionally kabisa . Saivi bado Nina usingizi ! Click to expand... hahahaha yaani live,unani.,.dah
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jan 29, 2022 #143,666 Brian Spilner said: Si namuibia ndege wake hapo. We si umeona namuita aje aseme ameona nini kwenye ulichombariki amegoma kuja. Maana ameona pekeakee.. Click to expand... kijana nakusoma tu
Brian Spilner said: Si namuibia ndege wake hapo. We si umeona namuita aje aseme ameona nini kwenye ulichombariki amegoma kuja. Maana ameona pekeakee.. Click to expand... kijana nakusoma tu
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jan 29, 2022 #143,667 Brian Spilner said: Inabidi uahirishe na kulala ili twende sasahivi, akija kushtuka jua limezama mtu chake nakusalimu mkuu Click to expand... natazama hatua zako
Brian Spilner said: Inabidi uahirishe na kulala ili twende sasahivi, akija kushtuka jua limezama mtu chake nakusalimu mkuu Click to expand... natazama hatua zako
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,668 reymage said: janaΓ !???kwani nliwaambia ntarusha? Leo ahadi ni deni!t Click to expand... We huna maana wewee... Na kwa taarifa yako nimekuja mkoa ulipo, ntakutafuta physically mpaka nikuonee..
reymage said: janaΓ !???kwani nliwaambia ntarusha? Leo ahadi ni deni!t Click to expand... We huna maana wewee... Na kwa taarifa yako nimekuja mkoa ulipo, ntakutafuta physically mpaka nikuonee..
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,669 mtu chake said: natazama hatua zako Click to expand... Mkuu mimi ni moja wa wale wachache usiopaswa kuwatilia shaka. Nilikua nakuchangamshia ndege wako asiwe mpweke.
mtu chake said: natazama hatua zako Click to expand... Mkuu mimi ni moja wa wale wachache usiopaswa kuwatilia shaka. Nilikua nakuchangamshia ndege wako asiwe mpweke.
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Jan 29, 2022 #143,670 Brian Spilner said: We huna maana wewee... Na kwa taarifa yako nimekuja mkoa ulipo, ntakutafuta physically mpaka nikuonee.. Click to expand... loohh!nimecheka Sana'a aseeh!Karibu sana asehh!mi nipo teleee!!!sura ya baba...miguu ya shangazi macho ya bibi!shepu ya mjombaautazimiaaa!!!!
Brian Spilner said: We huna maana wewee... Na kwa taarifa yako nimekuja mkoa ulipo, ntakutafuta physically mpaka nikuonee.. Click to expand... loohh!nimecheka Sana'a aseeh!Karibu sana asehh!mi nipo teleee!!!sura ya baba...miguu ya shangazi macho ya bibi!shepu ya mjombaautazimiaaa!!!!
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,671 reymage said: loohh!nimecheka Sana'a aseeh!Karibu sana asehh!mi nipo teleee!!!sura ya baba...miguu ya shangazi macho ya bibi!shepu ya mjombaautazimiaaa!!!! Click to expand... Mimi napenda kuzimia, naomba mvua ikikatika nije nizimie hapo kwako.
reymage said: loohh!nimecheka Sana'a aseeh!Karibu sana asehh!mi nipo teleee!!!sura ya baba...miguu ya shangazi macho ya bibi!shepu ya mjombaautazimiaaa!!!! Click to expand... Mimi napenda kuzimia, naomba mvua ikikatika nije nizimie hapo kwako.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jan 29, 2022 #143,672 Brian Spilner said: Mkuu mimi ni moja wa wale wachache usiopaswa kuwatilia shaka. Nilikua nakuchangamshia ndege wako asiwe mpweke. Click to expand... hahahahaha.mie natazama hatua zako kwa umakini
Brian Spilner said: Mkuu mimi ni moja wa wale wachache usiopaswa kuwatilia shaka. Nilikua nakuchangamshia ndege wako asiwe mpweke. Click to expand... hahahahaha.mie natazama hatua zako kwa umakini
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Jan 29, 2022 #143,673 Brian Spilner said: Mimi napenda kuzimia, naomba mvua ikikatika nije nizimie hapo kwako. Click to expand... karibu Sana'a!nipeleke msalato kula nyamaaa
Brian Spilner said: Mimi napenda kuzimia, naomba mvua ikikatika nije nizimie hapo kwako. Click to expand... karibu Sana'a!nipeleke msalato kula nyamaaa
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,674 mtu chake said: hahahahaha.mie natazama hatua zako kwa umakini Click to expand... Mimi ni kijakazi wako mkuu, jisikie huru kunituma chochote kwa ndege wako, i mean chochote, nikafanye kwa niaba yako.
mtu chake said: hahahahaha.mie natazama hatua zako kwa umakini Click to expand... Mimi ni kijakazi wako mkuu, jisikie huru kunituma chochote kwa ndege wako, i mean chochote, nikafanye kwa niaba yako.
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,675 reymage said: karibu Sana'a!nipeleke msalato kula nyamaaa Click to expand... Ondoa shaka, baada ya hapo utataka kwenda wapi?
reymage said: karibu Sana'a!nipeleke msalato kula nyamaaa Click to expand... Ondoa shaka, baada ya hapo utataka kwenda wapi?
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Jan 29, 2022 #143,676 Brian Spilner said: Ondoa shaka, baada ya hapo utataka kwenda wapi? Click to expand... nyumbani kulalaa!!! Ila usije nianzishia thread kua umekutana na mzee mwenye sura ya wife material!
Brian Spilner said: Ondoa shaka, baada ya hapo utataka kwenda wapi? Click to expand... nyumbani kulalaa!!! Ila usije nianzishia thread kua umekutana na mzee mwenye sura ya wife material!
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,677 reymage said: nyumbani kulalaa!!! Ila usije nianzishia thread kua umekutana na mzee mwenye sura ya wife material! Click to expand... Nyumbani kulala, okay Wala usiwe na shaka. Hata kwenye uzi wa ricky boy huwa siandiki kitu
reymage said: nyumbani kulalaa!!! Ila usije nianzishia thread kua umekutana na mzee mwenye sura ya wife material! Click to expand... Nyumbani kulala, okay Wala usiwe na shaka. Hata kwenye uzi wa ricky boy huwa siandiki kitu
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jan 29, 2022 #143,678 Brian Spilner said: Mimi ni kijakazi wako mkuu, jisikie huru kunituma chochote kwa ndege wako, i mean chochote, nikafanye kwa niaba yako. Click to expand... we koma,ufanye kwa niaba yangu nini?
Brian Spilner said: Mimi ni kijakazi wako mkuu, jisikie huru kunituma chochote kwa ndege wako, i mean chochote, nikafanye kwa niaba yako. Click to expand... we koma,ufanye kwa niaba yangu nini?
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,679 mtu chake said: we koma,ufanye kwa niaba yangu nini? Click to expand... Mkuu msimu wa mvua huu, usafi wa kulima nyasi. Au kuna jingine unataka kunituma.
mtu chake said: we koma,ufanye kwa niaba yangu nini? Click to expand... Mkuu msimu wa mvua huu, usafi wa kulima nyasi. Au kuna jingine unataka kunituma.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jan 29, 2022 #143,680 Brian Spilner said: Mkuu msimu wa mvua huu, usafi wa kulima nyasi. Au kuna jingine unataka kunituma. Click to expand... hahahahaha
Brian Spilner said: Mkuu msimu wa mvua huu, usafi wa kulima nyasi. Au kuna jingine unataka kunituma. Click to expand... hahahahaha