Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,641 Tinsley said: Haumithiliki hapo sijaelewa Mkuu , Click to expand... Yaani hauna mfano, hakuna mithili yake. kile kiswahili cha ndani kabisa
Tinsley said: Haumithiliki hapo sijaelewa Mkuu , Click to expand... Yaani hauna mfano, hakuna mithili yake. kile kiswahili cha ndani kabisa
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 29, 2022 #143,642 Brian Spilner said: Yaani hauna mfano, hakuna mithili yake. kile kiswahili cha ndani kabisa Click to expand... Ooh kumbe, Asante kwa jibu Hapana sipo hivyo kwa kweli .
Brian Spilner said: Yaani hauna mfano, hakuna mithili yake. kile kiswahili cha ndani kabisa Click to expand... Ooh kumbe, Asante kwa jibu Hapana sipo hivyo kwa kweli .
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,643 Tinsley said: Ooh kumbe, Asante kwa jibu Hapana sipo hivyo kwa kweli . Click to expand... Wenye majina mazuri kama lako urembo wao huendana na names..
Tinsley said: Ooh kumbe, Asante kwa jibu Hapana sipo hivyo kwa kweli . Click to expand... Wenye majina mazuri kama lako urembo wao huendana na names..
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 29, 2022 #143,644 Brian Spilner said: Wenye majina mazuri kama lako urembo wao huendana na names.. Click to expand... Majina haya unajitungia tu sidhani kama yanahusiana na urembo .... Tinsley hili limekaa kiume hivi hata hivyo ni unisex name .
Brian Spilner said: Wenye majina mazuri kama lako urembo wao huendana na names.. Click to expand... Majina haya unajitungia tu sidhani kama yanahusiana na urembo .... Tinsley hili limekaa kiume hivi hata hivyo ni unisex name .
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,645 Tinsley said: Majina haya unajitungia tu sidhani kama yanahusiana na urembo .... Tinsley hili limekaa kiume hivi hata hivyo ni unisex name . Click to expand... Ni zuri, vyovyote litakavyotumika nitalipenda. Hili la urembo mkuu kwanini tusilithibitishe kwa kuchat kwa picha.. Kama muktadha wa uzi. Me naamini uko mcute sana
Tinsley said: Majina haya unajitungia tu sidhani kama yanahusiana na urembo .... Tinsley hili limekaa kiume hivi hata hivyo ni unisex name . Click to expand... Ni zuri, vyovyote litakavyotumika nitalipenda. Hili la urembo mkuu kwanini tusilithibitishe kwa kuchat kwa picha.. Kama muktadha wa uzi. Me naamini uko mcute sana
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Jan 29, 2022 #143,646 Kashaija72 said: Kwani nawewe ni mwembamba, Hebu weka kapicha tuone Click to expand... Nakuahidi Leo SAA nane usiku ntakurushia live bila chenga Ni mwembamba km mti
Kashaija72 said: Kwani nawewe ni mwembamba, Hebu weka kapicha tuone Click to expand... Nakuahidi Leo SAA nane usiku ntakurushia live bila chenga Ni mwembamba km mti
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 29, 2022 #143,647 Brian Spilner said: Ni zuri, vyovyote litakavyotumika nitalipenda. Hili la urembo mkuu kwanini tusilithibitishe kwa kuchat kwa picha.. Kama muktadha wa uzi. Me naamini uko mcute sana Click to expand... Kha hapo kwa ucute tena sikuwezi ... Nimeweka picha kadhaa humu bila shaka umeniona .
Brian Spilner said: Ni zuri, vyovyote litakavyotumika nitalipenda. Hili la urembo mkuu kwanini tusilithibitishe kwa kuchat kwa picha.. Kama muktadha wa uzi. Me naamini uko mcute sana Click to expand... Kha hapo kwa ucute tena sikuwezi ... Nimeweka picha kadhaa humu bila shaka umeniona .
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,648 Tinsley said: Kha hapo kwa ucute tena sikuwezi ... Nimeweka picha kadhaa humu bila shaka umeniona . Click to expand... Sikufanikiwa kuona mkuu, nadhani si mbaya tukaweka tena, I too will do the same.
Tinsley said: Kha hapo kwa ucute tena sikuwezi ... Nimeweka picha kadhaa humu bila shaka umeniona . Click to expand... Sikufanikiwa kuona mkuu, nadhani si mbaya tukaweka tena, I too will do the same.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 29, 2022 #143,649 Brian Spilner said: Sikufanikiwa kuona mkuu, nadhani si mbaya tukaweka tena, I too will do the same. Click to expand... Haya anza wewe Boss .
Brian Spilner said: Sikufanikiwa kuona mkuu, nadhani si mbaya tukaweka tena, I too will do the same. Click to expand... Haya anza wewe Boss .
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Jan 29, 2022 #143,650 reymage said: Nakuahidi Leo SAA nane usiku ntakurushia live bila chenga Ni mwembamba km mti Click to expand... Saa nane usiku!!! Nasubiri
reymage said: Nakuahidi Leo SAA nane usiku ntakurushia live bila chenga Ni mwembamba km mti Click to expand... Saa nane usiku!!! Nasubiri
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,651 Tinsley said: Haya anza wewe Boss . Click to expand... mkuu jana tu umeiona yangu na sijaifuta mpaka sasa, kwanini leo nisifate baada yako.
Tinsley said: Haya anza wewe Boss . Click to expand... mkuu jana tu umeiona yangu na sijaifuta mpaka sasa, kwanini leo nisifate baada yako.
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,652 Kashaija72 Mkuu utakesha bure. reymage usiku anakaushia watu huyoo... muulize alichotufanyia jana.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 29, 2022 #143,653 Brian Spilner said: mkuu jana tu umeiona yangu na sijaifuta mpaka sasa, kwanini leo nisifate baada yako. Click to expand... Leo siku nyingine jamani 😂
Brian Spilner said: mkuu jana tu umeiona yangu na sijaifuta mpaka sasa, kwanini leo nisifate baada yako. Click to expand... Leo siku nyingine jamani 😂
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,654 Tinsley said: Leo siku nyingine jamani Click to expand... Ewaa sasa si ndo tunapokezana kufungua dimba mkuu
Tinsley said: Leo siku nyingine jamani Click to expand... Ewaa sasa si ndo tunapokezana kufungua dimba mkuu
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 29, 2022 #143,655 Brian Spilner said: Ewaa sasa si ndo tunapokezana kufungua dimba mkuu Click to expand... Nikiweka nitakutag rafiki .
Brian Spilner said: Ewaa sasa si ndo tunapokezana kufungua dimba mkuu Click to expand... Nikiweka nitakutag rafiki .
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,656 Tinsley said: Nikiweka nitakutag rafiki . Click to expand... nilidhani ungeweka saiv, okay, I'll stay tuned.
Tinsley said: Nikiweka nitakutag rafiki . Click to expand... nilidhani ungeweka saiv, okay, I'll stay tuned.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 29, 2022 #143,657 Brian Spilner said: nilidhani ungeweka saiv, okay, I'll stay tuned. Click to expand... Siku nyingine Leo niko off mood na picha .
Brian Spilner said: nilidhani ungeweka saiv, okay, I'll stay tuned. Click to expand... Siku nyingine Leo niko off mood na picha .
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,658 Tinsley said: Siku nyingine Leo niko off mood na picha . Click to expand... Ningesema upandishe ya kwenye gallery ila najua ntaitwa king'ang'anizi. Ngoja niishie hapa.
Tinsley said: Siku nyingine Leo niko off mood na picha . Click to expand... Ningesema upandishe ya kwenye gallery ila najua ntaitwa king'ang'anizi. Ngoja niishie hapa.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 29, 2022 #143,659 Brian Spilner said: Ningesema upandishe ya kwenye gallery ila najua ntaitwa king'ang'anizi. Ngoja niishie hapa. Click to expand... Hapana siwezi kukuiita hivyo .
Brian Spilner said: Ningesema upandishe ya kwenye gallery ila najua ntaitwa king'ang'anizi. Ngoja niishie hapa. Click to expand... Hapana siwezi kukuiita hivyo .
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Jan 29, 2022 #143,660 Tinsley said: Hapana siwezi kukuiita hivyo . Click to expand... Okay, asanteeh