Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,585
Usijidharau kwa wembamba wako, hapo kila kitu kipo clearly visible and accessible. Na tupo wengi tunaopenda kuona bila kupekenyua.Wasukuma kwa wanawake wanene mnainjoigi nini Shimba maana[emoji1][emoji1][emoji1]siye vimbaumbau km mwiko wa pilau mnatuona km mwichii
[emoji16][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ahsante@St.Anne tumepata muokozi hukuuuu!!!English figures siyeeUsijidharau kwa wembamba wako, hapo kila kitu kipo clearly visible and accessible. Na tupo wengi tunaopenda kuona bila kupekenyua.
Usinisahau[emoji1787]Nikiweka siku nitakutag .
Safi [emoji3577][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]kwa mbinu za ki medani naokoa wote.bila tatizo kipenzi
Haya Mkuu.Usinisahau[emoji1787]
HawajaamkaTrobaaaa! mtu chake rafiki kweli utanifanyia hivo kweli????
Weeee unanikejeli sio!! Mahondaw mshamba tu!!Hebu be honest.. utamuokoa nani Kati ya mahondaw na chakorii.usisahau mahondaw ni chombo haswa
NaniWeeee unanikejeli sio!! Mahondaw mshamba tu!!
Huo ndio ukweli dear!Nani
Kasema[emoji848]
Mungu ni mwema tuko poa rafiki... habari ya wewe na wahuko??Hawajaamka
Nifanyie wepesi
Mzima best[emoji2321]
Nchi huru hii bana .. jiachie tuNgoja
Ninyamaze
EtiMungu ni mwema tuko poa rafiki... habari ya wewe na wahuko??
Nimefurahi kujua uko Salama salmini!Eti
Wa huko[emoji1787]
Nimeamka salama best
KabisaNimefurahi kujua uko Salama salmini!
Naomba nione selfie yako RafikiKabisa
NitarushaNaomba nione selfie yako Rafiki