Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,016
- 177,325
Hebu tupia selfie kwanza ndio tujadili hilowe hujanona?
Hebu tupia selfie kwanza ndio tujadili hilowe hujanona?
Picha ya mitandaoni hiyo🤣🤣Weeehhhhh.. usitudanyanyee kwa mshepu ule afu 🤩🤩🤩🤩🤩 umenona balaa nanusu!!
Mimi simo rafiki... Mnanijaza tu mjue!
Okay………we hujanona?
Kama ilivo yangu ni kamera tu!!Picha ya mitandaoni hiyo🤣🤣
Anakaza mnoIpo Siku tena watu wametoa ofa leo .. anazingua huyo mzee!
Dah ndo nini..weka picha basi kipenzi
ThubutuuuuuKama ilivo yangu ni kamera tu!!
Kumbe mrembo umebarikiwa hivyo...loh shem ana mto mzuri sana wakulalia
📌📌📌📌Kwa mwanaume haipendezi eti... Alegeze kidogo tu
Hadi mtu chake atupie aseeJamani kama mnaweka iwekeni watu tulale hahaahahaahahh
hahahaha,usiogope rafiki nitawekaga tu selfie one dayMimi nishamuogopa kitambo labda leo akiweka sitamuogopa aseeh
Kipenzi ulishawahi niona ee…safi👊🏿
mnawachelewesha watu kulalaHadi mtu chake atupie asee
Heeeeeee🙆🙆🙆 so nikalale tu miye 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶😴😴😴😴😴😴😴😴hahahaha,usiogope rafiki nitawekaga tu selfie one day
Duh!Hadi mtu chake atupie asee