Selfika na JF: Snap it. Show it

Ehhh... Labda kwakua hatujaizoea hio... hapana sijaongelea mahaba yakee kabisa..hata hivo ushanielewesha nishafuta kauli
Ukitoa hiyo avatar binafsi nitaumia na nitakusahau hata ukikomentπŸ˜€πŸ˜€
Mazoea mabaya jaman😁😁

Kuna kitu nilitaka kuandika hapa ngoja nitulie 🀣🀣🀣

Ila unanikoshaga sna ujue
 
Ukitoa hiyo avatar binafsi nitaumia na nitakusahau hata ukikomentπŸ˜€πŸ˜€
Mazoea mabaya jaman😁😁

Kuna kitu nilitaka kuandika hapa ngoja nitulie 🀣🀣🀣

Ila unanikoshaga sna ujue
Lol andika basi best... hahahaaa..nina mpango wa kujaribu kubadili id na avatar nione itakuwaje πŸ™„πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…