Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,034
- 6,038
Asante sana mkuu. Kumbe una nafasi adhimu sana ya kusikilizwa.niliwaombea ruhusa .
Asante sana mkuu. Kumbe una nafasi adhimu sana ya kusikilizwa.niliwaombea ruhusa .
Jiongeze nawe.. anakuogesha mnaogeshana ndani ya jakuzi.. huku mmepakatana na mautani kama yoteeee ☺️☺️🤣🤣🤣🤣🤣!!mtu mzima kuogeshwa lol mbona balaa hilo! Labda kuoga pamoja ila kuogeshwa noma sanaaa asee! Yani mfano miye nimuogeshe huyo mzee nhihiiii!💃💃💃
ila mie na bibie hakuna kinachoshindikana.. 😊😊😊labda unakua huna njaa
Hahahaaa...nishaifutaaa!😜niliwaombea ruhusa .
tutacheza kidali poJiongeze nawe.. anakuogesha mnaogeshana ndani ya jakuzi.. huku mmepakatana na mautani kama yoteeee ☺️☺️
Waoohhh..asante kipenzi....💋💋💋🥰🥰
hahahaha.vzrHahahaaa...nishaifutaaa!😜
Ila leo imekaa kaa...Hahahaaa...nishaifutaaa!![]()
Hahahaaa..Sio kombolela!tutacheza kidali po
Hahahaaa.. umefanya vizuri kunikumbusha aseeh ✌️✌️✌️Ila leo imekaa kaa...
Kumbe me ndo nimeharibu kukumbusha
mta enjoy.. hadi nawatamania 😀😀Hahahaaa..Sio kombolela!
utaona rahaatutacheza kidali po
Ndio mambo gani hayo mkuu hebu nieleweshe ni kitu gani..mimi naogaga palipozungushiwa makuti tu fresh !kama hili c. c mahondaw View attachment 2097021
basi mtu chake atakuhamishia kwenye ulimwengu mwingine ambao hujawai kuuishi.. navuta picha utavyokuwa una mdekea unamrukia rukia kitandani 😀😀Ndio mambo gani hayo mkuu hebu nieleweshe ni kitu gani..mimi naogaga palipozungushiwa makuti tu fresh !
michezo yote.kwa rahaHahahaaa..Sio kombolela!
Acha watu waone neema za allah..Hahahaaa.. umefanya vizuri kunikumbusha aseeh![]()
Hivi kidali Po ndio mchezo gani nikumbushe kidogo!utaona rahaa