Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,213
- 29,382
Sijawahi kuvaa suti..sijui lini nitanunua suti Kwa kweli[emoji28]kitambi cha kazi gani aseee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi kuvaa suti..sijui lini nitanunua suti Kwa kweli[emoji28]kitambi cha kazi gani aseee [emoji23][emoji23][emoji23]
siku wife wako akitaka kuvaa utavaaa tuSijawahi kuvaa suti..sijui lini nitanunua suti Kwa kweli[emoji28]
Umeenda kuogelea? Natumaini sio ya kudanilodi
Nipe mwenyewe basiAmesema hujamfikishia salamu zangu za jana
hahahaha.mtumishi yuko on fireKhaaa mtumishi
Where is wifey jamani?
Simuoni and.... I miss her.
Nipo confused hapa hadi nimeshindwa kuhudhuria kikao cha chama pale shinani
Anaimba wimbo wa Alikiba huyo kaka🤣🤣🤣.kipara acha fix basiii 😀😀😀
wa hivi huwa wana noga sanaaaa...
Mtumishi naona amebugia nyagihahahaha.mtumishi yuko on fire
Ngoja nijiandae kununua suti Kwanza,kisha nitafute wife,siku akitaka isiwe shidasiku wife wako akitaka kuvaa utavaaa tu
😀😀 ndio mie huyo kuanzia juu hadi chini.. ndio maana mnaniona katoto.. kha.. hapo kazini bwanaaaa.. unaogeleaje hapo umevaa hivyoUmeenda kuogelea? Natumaini sio ya kudanilodi
Mbona mchana nilikuwa nae [emoji849][emoji849]
na wewe huna wife kumbe 🙄🙄Ngoja nijiandae kununua suti Kwanza,kisha nitafute wife,siku akitaka isiwe shida
hahahaha.katisha sanaMtumishi naona amebugia nyagi
Sawa mtumishi[emoji3][emoji3] ndio mie huyo kuanzia juu hadi chini.. ndio maana mnaniona katoto.. kha.. hapo kazini bwanaaaa.. unaogeleaje hapo umevaa hivyo
anazingua plus 😀😀Kwa hiyo ananizuga hapa?
mtumishi wa moto 😀hahahaha.mtumishi yuko on fire
Haki we kaka mchana umeniona mimi hapa?Mbona mchana nilikuwa nae [emoji849][emoji849]
Leo nilitaka nisiguse humu.
Yaani nyie watu bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HS ,wapambe wenzako na shemeji yenu Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]