sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,149
@Hannah....Mmelala?
@Hannah....Mmelala?
Good morning tooo mganga mshana.Good morning people of the world
Hahahaha ni janaume kumbe[emoji23][emoji23][emoji23]
Dada mi mdgo wako lakini nakuelewaga[emoji41][emoji41]Kumekucha hapa
Asee labda majamaa kama hayo yanatafutaga attention...Sio mchezo aisee..
Sijui wanafanya hivi kwa faida gani
Dada mi mdgo wako lakini nakuelewaga[emoji41][emoji41]
Umetisha..
"Kinyume" kivipi mkuu Mshana JrKuoa ni baraka... Nawaombea kisha wakitaka nitawasaidia... Wasifanye kinyume wataumia na uhuni wao[emoji35][emoji34]
Unaonekana wewe ni modo[emoji41][emoji41]Hey there...View attachment 1232359
Mbna uyo ni mjamaa nasikia..Hiyo hair style nimeielewaa, uko vizurii
Vitu kama hizi unahis maini inayeyuka[emoji3][emoji3][emoji3]Sijawahi kuwaelewaga waleviView attachment 1232651
Ahaa sawa mze baba...Kuchukua picha za watu kwa matumizi hasi
Sawa dada.Asante mdogo wangu
.Oi Oi chali wa A town apa...View attachment 1234686
duh!!. umekosa.Korumije by night
Asante[emoji28]Uko bomba