Ninakupa utakacho...sema nikupe nini usiku huu
Hili ground nowdayz limekua kama danguro
Mambo ni hivi![]()
Mchana sitaki kuamini kuwa billionaire mo alivyopotea hukuwa na hii dawa. Waliweka na dau la 1b, kwa nini hukuleta hii dawa? Ina maana hukutaka ile pesa?inaitwa double impact
😂😂😂😂unamtishia nani??Natambua kuna wadau hapa wana kazi moja tu kuzi download ama kuzi screenshot picha zote zenye sura zinazowekwa hapa....
Nasema hivi... NAOMBA MNISIKILIZE KWA MAKINI SANA..
kama unafanya hivyo kwa nia njema hakuna shida kabisa LAKINI kama unafanya hivyo kwa NIA OVU... nasema OLE WAKO..![]()
Natambua kuna wadau hapa wana kazi moja tu kuzi download ama kuzi screenshot picha zote zenye sura zinazowekwa hapa....
Nasema hivi... NAOMBA MNISIKILIZE KWA MAKINI SANA..
kama unafanya hivyo kwa nia njema hakuna shida kabisa LAKINI kama unafanya hivyo kwa NIA OVU... nasema OLE WAKO..![]()



Mchana sitaki kuamini kuwa billionaire mo alivyopotea hukuwa na hii dawa. Waliweka na dau la 1b, kwa nini hukuleta hii dawa? Ina maana hukutaka ile pesa?
Hii dawa, umeitowa wapi? Mtu anaanza kuonesha kucha, unaongeza dozi, anaonesha nguu wote, unaongeza dozi, paja lote, unakoleza anaonesha tumbo, sasa sura Nazo ziko wazi kweli mshana?
Mchana hujachelewa si utuletee waliotaka kumuua lisu, maana hata camera hazikuona, serikali kila siku inapambana na wasiojulikana, wanafanya maafa upo kimya wakati wewe upo?
Kirahisi dawa zako zikafanya kazi Jf? Mungu utamwambia nini kuacha 1b ya Mo ikaenda kirahisi vile? Ukoo wako ukawanyima bata kisa kuficha wasiojulikana wakati dawa unayo?![]()









Ile billion haikuwa safi... Ilikuwa imechafuka na ilizingirwa na michezo michafu... Kumbuka hata kwenye uchawi kuna usafiYule mwanaume anakunywa safari Lager moja,mwanamke heinken 5;khaa inasikitisha jamani
safi sana unaosha kichwa vizuri wengne wachafu balaa
Geukapo basi rafiki mara moja