Na mimi inabidi nitafute jezi yangu.Hey there...View attachment 1232359
Kumbe wachawi ndivyo mnavyolala?
Pampula unaumwa?Aiseee...leo mimi peke yangu ndio silewi
Auntie shikamoo!
nitasikitika sana ukinisahauNitakualika bwana
Ukaamua uifute, kweli ilikuwa bra.Sio bra angalia vizuri ni mto
Ushindwe na ulegee. Nataka ya yanga kalumanzila. Ninunulie basi.Ya Man U itakufaa?
Hahaha...Dooh ndio nasoma sasa hivi
Haya...nakuaminiaNitakualika bwana
Hahah...mzee babanitasikitika sana ukinisahau
yes ninjaHahah...mzee baba
Auntie nakununulia ya simba na man uNa mimi inabidi nitafute jezi yangu.
Unataka kuninyima nini auntie na hiyo shikamoo yako etiAuntie shikamoo!