Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Kama ilivyoanza
imeishaje sasa jamaniii ☺️☺️
imeishaje sasa jamaniii ☺️☺️
💔💔💔💔Limeisha![]()
Hanijui..we subirMateka wako kasema nisikupe![]()
👊🏿👊🏿huyo kijana
Dah nilipitwa hii....Awwww
Hizo data ulikusanya wapi? Jomoneeeeh c ungenidadisi mie mwenyew mbna ningekusadia ktk zoezi lako? Ukute sasa huko kuna sehemu umekosea ktk utafiti wako lol.
Afu kumbe nawee ni mtoto wa Anangisye? Mie nilijua uko chini ya taasisi ya mstaafu mwinyi pale karibu na Jangwani girls sec, nliona unapost sana mambo ya ktk taasisi ile. Kumbe nawee upo hapa opposite na mawasiliano tower?
Hebu tukutane PM bhas jomoneeeh, huenda ukawa mwaka wanguu huu.
mahondaw suala la mavazi na sare za harusi sitaki uniangushe.
Depal wee ndo mpambe wangu,
Chakorii kamati ya mapokezi itakufaa sana.
Lizzy mwenyeji wangu kuhusu kamati ya chakula fanya namna hapa.
Jack Palladino suala la vinywaji naomba ziwe za bei nafuu,
Saint Anne cc yafaa kuwa MC?
Karma mommah kamati ya ulinzi ni yakona nakuaminia.
Heaven Sent naomba mafundisho ya imani, malezi na maisha. c unajua ndoa sio lelemama.
mawardat mlongo music tafuta babu kubwaah.
Mshana Jr babuuh nadhan ndo msimamizi mkuu.
Satoh Hirosh kamati ya tahadhari na dharura hutaniangusha.
Wewe kijana wa hovyoo jina lako ngumu, suala la ukumbi na hotel ya kufanyia honeymoon ni lako, sitaki uniangushe hapo.
Na wengineo woteeeeeeeeeh. stay tuned mambo mazuri yanakuja hapa.![]()
hahahahaMateka wako kasema nisikupe![]()
😆😆hahahaha

😁😁😁 kinajaa kichwa tuuuWembamba sasa..wewe kula hata upepo kidogo ujae jae
TinsleyThis is thimbaaaaView attachment 2096513
Naam mkuu, shem 🙏Hakika Msiache kumuomba Mungu kila uchwao ❤️❤️
hawaruhusu hao.. wameisha ni blacklist mie ni mtoto.. ndio maana nanyimwa fursa za kutekwa.. hawa warembo wana madharauu 😀😀😀mnatekana tu
Tulia wewee.. nitakutia kabali.. huku nashika mfukoni nikuibie simuAcha ukuda
hahahahahawaruhusu hao.. wameisha ni blacklist mie ni mtoto.. ndio maana nanyimwa fursa za kutekwa.. hawa warembo wana madharauu 😀😀😀