Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
Si unajua ule ugonjwa wa chekelea.. unatokana na nini vilee 😂😂Unacheka mno 9.8ms squared
Si unajua ule ugonjwa wa chekelea.. unatokana na nini vilee 😂😂Unacheka mno 9.8ms squared
🤣🤣😆muoneSi unajua ule ugonjwa wa chekelea.. unatokana na nini vilee 😂😂
Chakula gani hiki 9.8
Hongera Kwa kula seafood mambo hayo kwangu ni mageni vyakula vya kizungu hivyo 9.8
Kha! njoo tule basi au nikujie 😋😋😋Hongera Kwa kula seafood mambo hayo kwangu ni mageni vyakula vya kizungu hivyo 9.8
Na huu ushamba nilionao vyakula vya kizungu havinifaiKha! njoo tule basi au nikujie 😋😋😋
You are missed too Mtumishi. Naamini unaendelea vizuri kabisammamaaaaaa pastaaaaa Heaven Sent miss youuu![]()
☺️☺️☺️☺️.. nipo mzima sana naendelea na majukumu tu.You are missed too Mtumishi. Naamini unaendelea vizuri kabisa
Mdogo ako yuko wapi leo?
Kipara ngoso songa ugari tule Pep .. acha akomazweee kidogo na bwana kiparaaHivi yule ni kipara mwenzio eeh? Mdogo ako katekwa jamani
Mama mchungaji sijawahi kubahatisha picha yako ujue.ni ukorofi
Kipara ngoso songa ugari tule Pep .. acha akomazweee kidogo na bwana kiparaa
😁😁😁😁 shemeji kachangamka kweli kweli kama kala pili piliEeh ila tu asimpige na kitu kizito. Ila shemeji yupo vizuri jamani mweeeh
shemeji kachangamka kweli kweli kama kala pili pili
Usimuwekee bwanaa.. kausha abaki ivyon ivoNtakuandalia ya kwako maalumu dada Anne