Selfika na JF: Snap it. Show it

Safi sana.. nguvu ya mwanamke 😊😊😊

Naomi si mzuri mzuri kajaa jaaa flani.. ana shape shape.. yeye hafanyi kazi pale ila kiwanja chake... Wengi wao pale wana degree pale.. 2019 nilikutana nao wengi sana na walikuwa moto kweli alafu wazuri sanaaa.. Kamba ndefu hiyo asee jumamosi nikiamka sijafa lazima jioni nisepe 😁😁😁
 
Basi nikajua Naomi muhudumu pale yupo ana deal Sana na cocktails,,, poa Kaka shetani asipojiinua hapa katkat jmos will be there
 
Hebu niazime hicho kishep na kisura chako kizuri japo Kwa siku za wikend tu nikapata babe tuuu chapu nakurudishia.
Sura iwe ya upole kama mimi nilivyompole..ok.

Hakuna cha kutegemea hapo..naomba utulivu ndoani fulustop
Weuweeeeeeeeeh [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Imeisha hiyoooo.
 
Aaaalelelelelelelelelelelelele[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kama kauwaaa ni kupendeza mwanzo mwishooooo! Sare kama tatu hivi jomoneeeeeeeee!! [emoji2956][emoji2956]
Teeeeeeenaaaaaaaah hapo kwenye mavazi nataka utishe zaidi yaan shos [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya connection hayooo,
Wacha wee.
 
Huyo Naomi alikuwa anaishi Dar!alikuwa na crown ya silver!
Kho kho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…