Selfika na JF: Snap it. Show it

Diesel ni expensive kulinganisha na petrol.. pia napenda gari za petrol cheap to maintain.. pia zinachanganya faster ( perfomance ).
Kabisa hizi za diesel ni pasua kichwa Ila Hawa jamaa wanakula kwa urefu wa Kamba zao ,, nipo na doto biteko wanaichambua kauli ya mama [emoji28][emoji28]
 
Hao uliowaelezea

Ndio wenyewe

Acha kumbania kijana wa hovyo hovyo[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…