Selfika na JF: Snap it. Show it

😃😃😃😃 Legend kama legend 😀😀😀😀😀.. sasa kama hivi acha niingizie mzigo ku validate hii mbinu
 
Phd nitaipata tu.. kama nikiitaka.. Padre Henry anatisha sanaaa.. inabidi ufate nyayo zake
Hahaaa yule siyo mwanajeshi wa jwtz mbona mwenyewe alishafafanua hilo

Zile gwanda ni za South Sudan ambako alienda kuhudumu kiroho maporini huko ndipo akachukua mafunzo kadhaa ya kijeshi kwa muda mfupi

Ndiyo akapewa na zile gwanda na pia ana black belt kwenye karate hivyo anajua kupigana
 
Hata mie nina black belt.. najua kupigana sana tu.. 😃😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…