Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,740
- 182,811
Hujakwenda kujiandikisha wewe?Nambie mama kujitunza; ndo nimetoka shamba
Hujakwenda kujiandikisha wewe?Nambie mama kujitunza; ndo nimetoka shamba
Labda wewe utakuwa umepatia maana kuna mtu alisema ni kati ya maji konyagi au k vant akaambiwa amekosea basi nahisi itakuwa smirnoff tena iceSmirnoff
Karibu unywe maziwa.Oohh siyo mbaya hata hapo haujafeli sana boss
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]asante ila maziwa huwa situmii kabisaKaribu unywe maziwa.
Avatar yako inanikumbusha mbali sana, hivi wewe ni member mpya au wa zamani kidogo![emoji39][emoji39][emoji39][emoji2210][emoji2210]
Ni mpya mkuu!! Inakukumbusha nini kwani??Avatar yako inanikumbusha mbali sana, hivi wewe ni member mpya au wa zamani kidogo![emoji39][emoji39][emoji39]
Niwekee hata mguu banaaa 😬Unataka hii sura ya baba yangu niiweke humu?[emoji16][emoji16]
Sawa bana[emoji177][emoji39][emoji108]
Nimelike piaNime "like" [emoji106]
Hata maziwa mgando?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]asante ila maziwa huwa situmii kabisa
Mariah neh! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Ni mpya mkuu!! Inakukumbusha nini kwani??
Uhuhu! Watu na mishepu yao 🔥🔥🔥Mjumbe hauwawi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1233397
Shukraniii JRNimeifuta ila unastahili hizi sifa
Aah nasemea mwenye picha yake huyo Dada au unadhani sijui ni nani 😂Nikumbushe tafadhali