Na ku recomend
Stefano Mtangoo kwenye project yako ile, alikuwa mwalimu wangu wa java, php kitu kama sikosei C++ pamoja na API.. sema ndio niliachana na hayo nikawa tapeli tuu wa mjinj. but on serious work mpe jamaa ana hofu ya Mungu, ana mpenda Mungu na ni muaminifu.. utafurahi kufanya nae project