Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwamba no bashasha kabisa nowdays!!!![emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji134][emoji134]!! Hata mimi nimeliona hili.
Mimi huna haja ya kuniambia kuwa kuna kitu hakiko sawa. Ukiwa na kitu kinakukera nitajua tu...na tutakitatua kwa pamoja. Ndiyo maana ya urafiki Boss Lady [emoji16][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…