Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Hivi si tulikubaliana tukivaa zile rangi ndio tunavuta kamba za kula hadi kuvimbiwa😀Nilishaweka jana hadi nika blow cover yangu.
Halafu akaikataa, anataka nibadilishe shati.
Sema nimemuelewa sana, zile rangi za michicha michicha sio za ku entertain
Heko mkuu shemeji mtumishi Heaven Sent
My intuition...!
Salama kabisa. Naona kama umepoa kidogo na huna bashasha kama hapo mbele kidogo. Ni kazi zimekuzidia ama nini?Kwema rafiki! Habari za huko!!
Hatukukubaliana.Hivi si tulikubaliana tukivaa zile rangi ndio tunavuta kamba za kula hadi kuvimbiwa😀
Sijui matumbo yatabaki salama🤔Hatukukubaliana.
Ila tu tulielekezwa, sasa sjui tukubali?
Huoni tunaweza vuta kamba ikatike tuanguke?
Halafu imagine kuanguka ukiwa umevimbiwa 🤣🤣
Hahahaaa ...Nimetingwa tu rafiki.. pia sometimes tunapumzika na kufanya mambo mengine....Salama kabisa. Naona kama umepoa kidogo na huna bashasha kama hapo mbele kidogo. Ni kazi zimekuzidia ama nini?
Umeshaselfika leo ikanipita kama ilivyo kawaida yangu au bado?
Wivu tu.Sijui matumbo yatabaki salama🤔
Ila lini mbogamboga tukavimbiwa???
Tulivyo waroho...ni mwaka wa sitini huu tunang'ang'ana na madaraka.
Ndiyo mnasemga "Mkeka umechanika" eeh?My intuition...!
Nimekosa mimi,nimekosa sana,nimekosa mimi😀Wivu tu.
Embu tuache, usitufuatilie 😠😡
Nimechana eti?Ndiyo mnasemga "Mkeka umechanika" eeh?
Nimechana eti?
🤣🤣🤣🤣🤣Ewaaa...haya ndo maneno sasa..we love you too guys...cha mdeko and Pep..
Kwako mama mchungaji Heaven Sent 🎤
🤔Brod darling; all these years niwe early au mid 30s kweli?
Jiandaeni tunawapa picha sasaAririririririri
Naona zuri hivyohivyo.Lakini huku chini ya mikono Nilitaka pabane kama urefu wa cm 3 jamani! Ntamwambia aparekebishe kidogo
[emoji848]
Jiandaeni tunawapa picha sasa
Najaribu kukuweka kwenye 40 ila hesabu zangu zinagoma🤣Unatafakari nini mama sipitwi?