Sasa mbona jamaa akaoa mwanamke wanaendana umri? Huyo shemeji yako alitakiwa kuchukua mtoto mbichi kidogo wa 85 kwenda mbele.[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajiona mkubwa Elli...Dada yangu wa kwanza alkuwa wa 76,wa pili wa 82...huyo mumewe sasa ndio ana umri sawa na wako.
Sema unaweza tu kuwa Anko wangu[emoji847] japo anko wangu ni wa 45
🤣🤣🤣Hiyo zawadi ya kuzimia ni wewe kufunga ndoa takatifu na Pep mheshimiwa bibi harusi
Gap la 4 yrs mbona kubwa😀Sasa mbona jamaa akaoa mwanamke wanaendana umri? Huyo shemeji yako alitakiwa kuchukua mtoto mbichi kidogo wa 85 kwenda mbele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipe muda Shem..Naleta kitu hapa..Kwa hiyo mwaka huu umeuanza na uzee[emoji23][emoji23][emoji23], thibitisha kwamba umekuwa mzee..thibitisha shem[emoji23][emoji23]
Itifaki Izingatiwe[emoji28]Siwezi kuwa umri sawa na shem wako, mimi ni uncle wako tafadhali [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu dogo ananiita kaka, jamani!
Gap la 5-10 hapo, sio mnakaa na mke anaanza kuzeeka jamaa bado kijana kabisa.Gap la 4 yrs mbona kubwa[emoji3]
Wewe mkeo wa mwaka gani??
Isije kuwa nina umri sawa na wake.
Si sahihi kabisa...Uncle kama wewe uitwe Kaka kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu dogo ananiita kaka, jamani!
Shem...Mwambie mwenye simu yako akurudishie...Pls..[emoji28]Gap la 5-10 hapo, sio mnakaa na mke anaanza kuzeeka jamaa bado kijana kabisa.
Kwamba nioe mtu wa umri wako? Mtoto wa below 28 nampeleka wapi mimi, hata utam hamjui kuusikiliza naanzaje kwa mfano[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nikukoseana tu shem, Ila binti kanielewa nadhani. Au kwa vile ana dada zake nilicheza nao kibaba/kimama ndio kaamua kuniita kaka..
10 yrs😁,hilo gap lilikuwa kwa dada yangu huyo wa 76...mume wake mkubwa.Gap la 5-10 hapo, sio mnakaa na mke anaanza kuzeeka jamaa bado kijana kabisa.
Kwamba nioe mtu wa umri wako? Mtoto wa below 28 nampeleka wapi mimi, hata utam hamjui kuusikiliza naanzaje kwa mfano[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahah!
Nawewe ni mkuda🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787]
Chakorii umeona
Upasue jipu
Kabisa
Mwee🤣Nikukoseana tu shem, Ila binti kanielewa nadhani. Au kwa vile ana dada zake nilicheza nao kibaba/kimama ndio kaamua kuniita kaka..
Nimekosa shem, nimekosa sana[emoji23][emoji23] halafu nataka haka kabinti kakomae fasta,[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio sanaNawewe ni mkuda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha ha..Huyo ni Mpendwa usifanye hivyo Shem..Nimekosa shem, nimekosa sana[emoji23][emoji23] halafu nataka haka kabinti kakomae fasta,[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bwana! 5-10 ni poa zaidi!10 yrs[emoji16],hilo gap lilikuwa kwa dada yangu huyo wa 76...mume wake mkubwa.
Angalau 4_7yrs.
Mimi wa 85,,mkeo wa mwaka gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikukoseana tu shem, Ila binti kanielewa nadhani. Au kwa vile ana dada zake nilicheza nao kibaba/kimama ndio kaamua kuniita kaka..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bwana! 5-10 ni poa zaidi!
Nipo single, nipo natafuta hapa[emoji23]