Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni namba ya kiatu na miaka,,multipurpose yaani.
Labda multi socket! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninyi vibinti wengi wenye miaka 27/28 mnapenda muonekane wakubwa kwa kaka /dada zenu ila mkumbuke uzee upo na ni kitu real!
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kuna siku ulifanya interview hum ni kama ulitaja huo mwaka au Mimi ndio nimesahau. Sasa hivi sijataitiwa wala nini niponipo tu kama taahira
Nakumbuka vizuri sana, so you think Nitajiexpose kwa kutaja umri wangu sahihi nionekane mzee! Forget it!!
Nikirudi nitakutafuta binti [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Na vinavyopenda ukubwa; ngoja vije vizeeke kama sisi
Tatizo hivi vibinti vinaona dili kuonekana vikubwa kwa kaka na dada zao! Ila vinasahau kuwa uzee ni real! Vikifika kwenye 32 vinageuza namba visomeke 23! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…