Selfika na JF: Snap it. Show it

reymage
mahondaw
Depal

Tafadhari naomba picha zenu mlizoweka ambazo mie sijaona, yaan hapa nahisi kufa kufa, na mnajua huwa siwezi kukubali kupitwaa. Please mfanye km vile nahitaji.

Hivi mie huu ni ukubwa au mambo mengi, mbna napitwa hivi khaaaah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Naombeni nione hizo picha, seriously.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…