Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,581 reymage said: Cha mdeko aka last born!! Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app Click to expand... Watu wabaya😁
reymage said: Cha mdeko aka last born!! Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app Click to expand... Watu wabaya😁
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Jan 17, 2022 #138,582 Humu vipi mnatupia picha na kufuta kwani ndo selfie 🤳 hiyo, nimeona picha kuna mtu amekaa kwenye kiti na mkoba narudi tena haipo😲 najaribu kwa kurudi nyuma bado siiyoni😒
Humu vipi mnatupia picha na kufuta kwani ndo selfie 🤳 hiyo, nimeona picha kuna mtu amekaa kwenye kiti na mkoba narudi tena haipo😲 najaribu kwa kurudi nyuma bado siiyoni😒
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,583 Simbaaa
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Jan 17, 2022 #138,584 Saint Anne said: Watu wabaya Click to expand... Wanakuonea sanaa Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Saint Anne said: Watu wabaya Click to expand... Wanakuonea sanaa Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Jan 17, 2022 #138,585 Ona huyu said: Humu vipi mnatupia picha na kufuta kwani ndo selfie hiyo, nimeona picha kuna mtu amekaa kwenye kiti na mkoba narudi tena haipo najaribu kwa kurudi nyuma bado siiyoni Click to expand... We za kwako zikwapi rafikii Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ona huyu said: Humu vipi mnatupia picha na kufuta kwani ndo selfie hiyo, nimeona picha kuna mtu amekaa kwenye kiti na mkoba narudi tena haipo najaribu kwa kurudi nyuma bado siiyoni Click to expand... We za kwako zikwapi rafikii Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,419 Jan 17, 2022 #138,586 Heaven Sent said: Yaani Karma kwa kweli hadi nimem-quote na picha dah Shimba Ya Buyenze kwa sababu amelala; itabidi nimtumie tu PM Click to expand... Haya ndo maneno sasa Mtumishi. Nakwenda kufungua PM kwa ajili yako. Naisubiria hiyo picha kwa hamu kubwa. Usiniangushe pulizi
Heaven Sent said: Yaani Karma kwa kweli hadi nimem-quote na picha dah Shimba Ya Buyenze kwa sababu amelala; itabidi nimtumie tu PM Click to expand... Haya ndo maneno sasa Mtumishi. Nakwenda kufungua PM kwa ajili yako. Naisubiria hiyo picha kwa hamu kubwa. Usiniangushe pulizi
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,419 Jan 17, 2022 #138,587 Saint Anne said: Aki ya nani Click to expand... Nawe eti umepitwa na picha? Ajabu sana hii wallahi!
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,879 Reaction score 129,907 Jan 17, 2022 #138,588 Cc Depal
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,589 Kila siku tupo juu Hawezi gusa moto huu Si sio size yao🤏 Green City,Mbeya City Thimbaaaa Nasindikizia na ngoma
Kila siku tupo juu Hawezi gusa moto huu Si sio size yao🤏 Green City,Mbeya City Thimbaaaa Nasindikizia na ngoma
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jan 17, 2022 #138,590 Nimeshatimiza ahadi yangu na wewe Mtumishi, sina deni. Shimba Ya Buyenze said: Haya ndo maneno sasa Mtumishi. Nakwenda kufungua PM kwa ajili yako. Naisubiria hiyo picha kwa hamu kubwa. Usiniangushe pulizi Click to expand...
Nimeshatimiza ahadi yangu na wewe Mtumishi, sina deni. Shimba Ya Buyenze said: Haya ndo maneno sasa Mtumishi. Nakwenda kufungua PM kwa ajili yako. Naisubiria hiyo picha kwa hamu kubwa. Usiniangushe pulizi Click to expand...
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,419 Jan 17, 2022 #138,591 Heaven Sent said: Nimeshatimiza ahadi yangu na wewe Mtumishi, sina deni. Click to expand... Asante sana Mtumishi. Nimeona. Uwiiii!
Heaven Sent said: Nimeshatimiza ahadi yangu na wewe Mtumishi, sina deni. Click to expand... Asante sana Mtumishi. Nimeona. Uwiiii!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,592 Shimba Ya Buyenze said: Nawe eti umepitwa na picha? Ajabu sana hii wallahi! Click to expand... Nimehujumiwa
Shimba Ya Buyenze said: Nawe eti umepitwa na picha? Ajabu sana hii wallahi! Click to expand... Nimehujumiwa
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jan 17, 2022 #138,593 Acha upambe basi. Mtumie na Saint Anne analia kweli amepitwa Shimba Ya Buyenze said: Asante sana Mtumishi. Nimeona. Uwiiii! View attachment 2085173 Click to expand...
Acha upambe basi. Mtumie na Saint Anne analia kweli amepitwa Shimba Ya Buyenze said: Asante sana Mtumishi. Nimeona. Uwiiii! View attachment 2085173 Click to expand...
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jan 17, 2022 #138,594 Na wakati ulikuwepo hapahapa Saint Anne said: Nimehujumiwa Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,595 Heaven Sent said: Nimeshatimiza ahadi yangu na wewe Mtumishi, sina deni. Click to expand... Ila mimi na Karma ni mwaka wetu wa 5 huu tunaomba picha bila kupewa
Heaven Sent said: Nimeshatimiza ahadi yangu na wewe Mtumishi, sina deni. Click to expand... Ila mimi na Karma ni mwaka wetu wa 5 huu tunaomba picha bila kupewa
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jan 17, 2022 #138,596 Karma nimempostia muda ule hayupo. Ila yeye ntamtumia PM, kazi kwako Saint Anne said: Ila mimi na Karma ni mwaka wetu wa 5 huu tunaomba picha bila kupewa Click to expand...
Karma nimempostia muda ule hayupo. Ila yeye ntamtumia PM, kazi kwako Saint Anne said: Ila mimi na Karma ni mwaka wetu wa 5 huu tunaomba picha bila kupewa Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,597 Heaven Sent said: Acha upambe basi. Mtumie na Saint Anne analia kweli amepitwa Click to expand... Kwendaaa
Heaven Sent said: Acha upambe basi. Mtumie na Saint Anne analia kweli amepitwa Click to expand... Kwendaaa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,598 Heaven Sent said: Karma nimempostia muda ule hayupo. Ila yeye ntamtumia PM, kazi kwako Click to expand... Kwendaaaa Ngoja aje,tunakuchamba leo
Heaven Sent said: Karma nimempostia muda ule hayupo. Ila yeye ntamtumia PM, kazi kwako Click to expand... Kwendaaaa Ngoja aje,tunakuchamba leo
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jan 17, 2022 #138,599 Saint Anne said: Kwendaaa Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,600 Heaven Sent said: Na wakati ulikuwepo hapahapa Click to expand... Ni hujuma tu