Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Ni roho mbaya tu hiyo[emoji17][emoji17][emoji17]Daah afu kale ka code ka kitumishi nilitaka sana mkaone na Anne na @Mahondaw
Ni roho mbaya tu hiyo[emoji17][emoji17][emoji17]Daah afu kale ka code ka kitumishi nilitaka sana mkaone na Anne na @Mahondaw
Pep unamuona shemeji yako lakini anachonifanyia[emoji2356]
Kwa sababu amenihujumu basi siagi[emoji51][emoji51]
Pep kuna watu hawanipendi[emoji19]
Nakuona kama kitabu kizuri[emoji257]Karibu kusikiliza mziki
Huyo niliyemwita naye ni wa tumbo moja😊Heehehe. Muite na kaka ako wa tumbo moja
C.c @9.8ms squared
Jamani loooh!sasa itakuaje?!!Fanya tena baaasiii!!!Daah afu kale ka code ka kitumishi nilitaka sana mkaone na Anne na @Mahondaw
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Ni roho mbaya tu hiyo[emoji17][emoji17][emoji17]
Njoo nikusome[emoji41]Nakuona kama kitabu kizuri[emoji257]
Kilichoshaheni,hadithi nzuri za mapenzi[emoji173]
Ukanifanya mimi siwezi,kula kulala mpaka nikuone[emoji3061]
Nikufunue nikusome ndo nipate usingizi
Sasa shemeji yako ntamuachaje nikitoka?[emoji2356]
Kwanza picha yenyewe sijaona[emoji16][emoji51]
Hilo limeishaDalili zote zinaonesha dada mkubwa unaweza kukaa na akina shangazi vizuri nikapata 'discount' kwenye mahari
Nimekuwa na bahati
Hapa nakusanya nguvu nianze kuwasimanga😀,msifikiri hili limeisha kirahisi hivi🤣Wewe unawapendaga wenzio?
Nyie kupitwaaaaSubiri usiku ntakavyopiga.
Leo hutalala kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikubali kabisa kujitoa kwa picha ambayo hatujaiona🤣Mpeane namba PM then mtawasiliana nje ya hapa.
Cha msingi picha imepostiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama pete yangu,
inakuchomaa kidoleni
Ni Kama pendo langu,
Linakuchoma moyoni,
Bora kuitoa aaah aah,
Pendo kulivua aaah,
Bora kuitoa,
Moyoni mwangu Mi nisiteseke.View attachment 2084811
Muonee huruma mama mchungaji[emoji1787]
Siwezi kupitwa halafu niwaache bure.Nyie kupitwaaaa
Ni dhambi ku crop
Muulize mama mchungaji