Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,301 Khantwe said: Abeee...babe? Click to expand... Nimekosa mimi,nimekosa sana ,nimekosa mimi. Hiyo ni "a",siyo " e"..keyboard inataka kunichonganisha na watu
Khantwe said: Abeee...babe? Click to expand... Nimekosa mimi,nimekosa sana ,nimekosa mimi. Hiyo ni "a",siyo " e"..keyboard inataka kunichonganisha na watu
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 17, 2022 #138,302 reymage fanya chap basi nitaingia kwenye majukukumu ndani ya dk 2zijazo
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 Jan 17, 2022 #138,303 Saint Anne said: Nimekosa mimi,nimekosa sana ,nimekosa mimi. Hiyo ni "a",siyo " e"..keyboard inataka kunichonganisha na watu Click to expand... nimeuliza tu nilihisi nimesoma vibaya
Saint Anne said: Nimekosa mimi,nimekosa sana ,nimekosa mimi. Hiyo ni "a",siyo " e"..keyboard inataka kunichonganisha na watu Click to expand... nimeuliza tu nilihisi nimesoma vibaya
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 Jan 17, 2022 #138,304 Chakorii said: reymage fanya chap basi nitaingia kwenye majukukumu ndani ya dk 2zijazo Click to expand... Anapost sasa hivi kwani
Chakorii said: reymage fanya chap basi nitaingia kwenye majukukumu ndani ya dk 2zijazo Click to expand... Anapost sasa hivi kwani
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 17, 2022 #138,305 Khantwe said: Anapost sasa hivi kwani Click to expand... Ndo namuomba hapa dear khantwe 🥲
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,417 Jan 17, 2022 #138,306 Khantwe said: Anapost sasa hivi kwani Click to expand... Amesema anajiripua sasa hivi. Tusubirieni tu
Khantwe said: Anapost sasa hivi kwani Click to expand... Amesema anajiripua sasa hivi. Tusubirieni tu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,307 Khantwe said: nimeuliza tu nilihisi nimesoma vibaya Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 17, 2022 #138,308 Jamani Kwa yeyote atakaepata picha ya huyu biutifuli woman anitunzie au anitumie pm au whatsap. Khantwe nakutegemea. Muda si rafiki Kwa sasa🥂
Jamani Kwa yeyote atakaepata picha ya huyu biutifuli woman anitunzie au anitumie pm au whatsap. Khantwe nakutegemea. Muda si rafiki Kwa sasa🥂
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,309 Khantwe said: Hata mimi haijaniingia akilini Click to expand... Eti anakunywa pombe🥲
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,310 Shimba Ya Buyenze said: Hizi tenzi ziimbwe na mtiwa mafuta Mbarikiwa Mwakipesile sasa uwiii. Ibada ya ajabu . Nimezikusanya karibia zote na nikiwa na safari ndefu hata ya masaa 10 nikiziweka najua tu kuwa nitafika salama! Click to expand... Zinavuta uwepo wa Mungu
Shimba Ya Buyenze said: Hizi tenzi ziimbwe na mtiwa mafuta Mbarikiwa Mwakipesile sasa uwiii. Ibada ya ajabu . Nimezikusanya karibia zote na nikiwa na safari ndefu hata ya masaa 10 nikiziweka najua tu kuwa nitafika salama! Click to expand... Zinavuta uwepo wa Mungu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,311 Mjep said: Bahati yako njema leo Hongera Click to expand... Mjep umenihujumu jana🤣 Umesubiri nilale ndio upost vocha😁
Mjep said: Bahati yako njema leo Hongera Click to expand... Mjep umenihujumu jana🤣 Umesubiri nilale ndio upost vocha😁
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jan 17, 2022 #138,312 Umeamkaje rafiki yangu mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Jan 17, 2022 #138,313 Niko gudo rafiki habari zawewe!! mtu chake said: Umeamkaje rafiki yangu mahondaw Click to expand...
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Jan 17, 2022 #138,314 Chakorii said: reymage fanya chap basi nitaingia kwenye majukukumu ndani ya dk 2zijazo Click to expand... Loohh!pole kipenzi!!! Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Chakorii said: reymage fanya chap basi nitaingia kwenye majukukumu ndani ya dk 2zijazo Click to expand... Loohh!pole kipenzi!!! Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jan 17, 2022 #138,315 mahondaw said: Niko gudo rafiki habari zawewe!! Click to expand... habari yangu ni poa.jana ukanichomesha mahindi victoria
mahondaw said: Niko gudo rafiki habari zawewe!! Click to expand... habari yangu ni poa.jana ukanichomesha mahindi victoria
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Jan 17, 2022 #138,316 reymage said: Weewee!!tunaambiwaga jf wadada wa jf wote wabayaa!!!kawaida tuuu!!!tupo tupo tu!!!hatuna mbele wala nyuma Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app Click to expand... Ebu rudia Nifanye kuthaminisha Kisha nitakuambia
reymage said: Weewee!!tunaambiwaga jf wadada wa jf wote wabayaa!!!kawaida tuuu!!!tupo tupo tu!!!hatuna mbele wala nyuma Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app Click to expand... Ebu rudia Nifanye kuthaminisha Kisha nitakuambia
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,565 Reaction score 119,628 Jan 17, 2022 #138,317 Wanafunzi day
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Jan 17, 2022 #138,318 mtu chake said: habari yangu ni poa.jana ukanichomesha mahindi victoria Click to expand... Mtu chake Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
mtu chake said: habari yangu ni poa.jana ukanichomesha mahindi victoria Click to expand... Mtu chake Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Jan 17, 2022 #138,319 Wigelekelo said: Ebu rudia Nifanye kuthaminisha Kisha nitakuambia Click to expand... looohh!nna sura ya mjomba besti Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Wigelekelo said: Ebu rudia Nifanye kuthaminisha Kisha nitakuambia Click to expand... looohh!nna sura ya mjomba besti Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 17, 2022 #138,320 Jack Palladino said: ...View attachment 2084379 Click to expand... Mimi nipo hapo kwenye wasio na hela
Jack Palladino said: ...View attachment 2084379 Click to expand... Mimi nipo hapo kwenye wasio na hela