Selfika na JF: Snap it. Show it

Receipt muhimu sana, kama hana receipt au machine ya EFD hakuna kupewa pesaaa 😂😂😂😂 na kama akipewa iwe chini ya 100,000.. muambie mama pastor akupatie receipt ya jana
Mama Mchungaji kasema Ile ya Juzi nimechangia ukuaji wa huduma, kwahiyo ataitumia Ile Hela kueneza Injili hadi kufika Kijiji Cha Nanjilinji huko 🙆

Ila ushauri wako nimeuzingatia, Mwaka huu sitatoa hela ya kumjengea mtu nyumba, kununua kiwanja Wala kulipa ada.
 
Sura ya baba wapi? Tena hiyo rangi na hiyo ngozi kwa huyo Msukuma kwisha habari yake

Ila na wewe ni mjukuu wangu tu. Anza kuniita babu kuanzia leo. Hata 25 hujakaribia dah!
Weewee!!
tunaambiwaga jf wadada wa jf wote wabayaa!!!
kawaida tuuu!!!tupo tupo tu!!!hatuna mbele wala nyuma

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Babu mi mkubwa Sana'a!am mid 30's...!!!hujasave
mmefuta maana nilijiweka live bila chenga hakuna emoji ya kujificha!

Mid 30 unaota? Hata late 20s bado!

Huo ulikuwa ni ujasiri kwa kweli. Laivu bila emoji wala nini. I wish ningescreenshot chap. Nimeenda kunywa maji nusu dakika ushafuta dah! Ila nimeisevu kichwani haina neno
 
Serious nakuambiaa!mid 30's Mimi...
!!!
Nimejilipua tuu Leo ,bila emoji wala nini, wakinijua wanijue tu !wanaonifahamu ni wengi humu!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…