Niliwahi kwenda club mara moja tena uzeeni, na niliishia kusinzia tu[emoji134][emoji134]Sio ushamba mpenzi. Kila mtu ana kitu anakipenda. Mimi sasa hivi hunibebi kunipeleka club ila nilikuaga kama nimechanjiwa nilivyokua chuo. Sasa hivi kitu naweza kukifanya ni kunywa tu. Hata nikalie crate ya bia kama kuna kamziki na story nakaa.
Sema sasa nikisema nijifungie ndani naweza kaa hata siku 3 sifungui mlango.
Yaanii acha kabisaa...Hahahahhahahahhahahhahahahahhahahaha.
Ndio nini kwenda kuaibisha huko?
Lazima ulikuwa unakunywa soda na wenzako pombe. Mtu akinywa pombe haoni kama muda unaenda yaani. Utasema bora kamaliza unashangaa tuu zingine tatu zimeshuka mezani kwa mkupuo.
Unaweza ukalia yaani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
rangi ya mtumeMpiga picha wangu uliyempiga mdogo wangu jana popote ulipo nakusalimia [emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1232715
Si tutakuzika[emoji134]
..endelea tu kuwa singo! Ni nzuri kwa afya ya baadhi ya viungo vyako..[emoji1787][emoji1787][emoji23]Jamani
Ujue mie niko singo
Hizo siku tatu unakuwa una hangover?Sio ushamba mpenzi. Kila mtu ana kitu anakipenda. Mimi sasa hivi hunibebi kunipeleka club ila nilikuaga kama nimechanjiwa nilivyokua chuo. Sasa hivi kitu naweza kukifanya ni kunywa tu. Hata nikalie crate ya bia kama kuna kamziki na story nakaa.
Sema sasa nikisema nijifungie ndani naweza kaa hata siku 3 sifungui mlango.
Mimi napenda nikiamua kuondoka tuondoke wote!!Mie nikitoka kwanza naonaga kero tu, na huyo nilotoka nae ajiandae kisaikolojia. Ushamba mzigo[emoji134]
Auntie njia inapitika kabisa hii usinitafutie sababu. Mbona mimi nimepita?Mafurikoo auntie
Amen amen..endelea tu kuwa singo! Ni nzuri kwa afya ya baadhi ya viungo vyako..[emoji1787][emoji1787][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli tena ex darling, mie nina vitenge tu. Tena hazibani.Mmmh, mwalimu umeniongopea[emoji1787]
Umepita ukienda wapii jamaniAuntie njia inapitika kabisa hii usinitafutie sababu. Mbona mimi nimepita?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora wewe huwa unakwenda, mie naagiza bodaboda[emoji85]
Kuna mama huwa ananiambia akitaka kuja kwangu walaa hajihangaishi kupiga simu maana anajua tu atanikuta.
Ndio basi tena mdogo wangu tubakie tu kuwa watazamaji[emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo siku tatu unakuwa una hangover?
Kwenda club nadhani inaendana na umri. Mara ya kwanza na mwisho mimi kucheza disco tena disco vumbi ni graduation ya form 4 waliweka mziki na mimi nikajirusha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kreti la bia? Unamaliza? Shikamoooooooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niliwahi kwenda club mara moja tena uzeeni, na niliishia kusinzia tu[emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sina hata, ujuwe hata kwako saivi sina ujasiri, nina aibu sijui zinatoka wapi[emoji39]
Auntie unataka kusemaje?Aiseee
Sio wewe!!Hamna mbona ni ku switch mode tu....
TunaibiwaaaaAuntie unataka kusemaje?
Kila saa unaangalia saa. Huku umenunaaaMie nikitoka kwanza naonaga kero tu, na huyo nilotoka nae ajiandae kisaikolojia. Ushamba mzigo[emoji134]