Miguu yake ni kama nguzo za alabasta zilizosimikwa katika misingi ya dhahabu.
Halafu umbo lake sasa... ni kama Lebanoni, ni bora kama miti ya mierezi.
Umewahi kuona kichwa chake? ni kizuri kama dhahabu safi, nywele zake ni za ukoka, nyeusi ti kama kunguru.