[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimerithi kabisa yaani.
Kagiza kakianza kuingia ukitaka kuja kwangu hamna haja ya kuniuliza kama nipo maana ni lazima niwepo na milango yote nimefunga.
Hivi viwanja sivijui hata vinafananaje yaani. Nikisema leo sipiki acha nikachome kuku au pizza nikifika namwambia funga kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo naenda kulia nyumbani.
Basi wananisemaga ila ndio hivo sibadiliki yaani wameishia kuniita "mama mchungaji"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
..walikubeba jukwaju[emoji23][emoji1787]Mara ya kwanza iliyeyuka eti
Ya mirinda nyeusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Arosto tuu auntie
Pamekaa kama Uhuru parkView attachment 1232803wenye arosto ya mirinda nyeusi
Mwe mwe mweeeeeh!! Mwalimu mimi navaa haiba tu, sina jeans hata moja[emoji134][emoji134]Sijaona hata moja, fanya ile ya jeans na t-shirt tuwehuke ex darling.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..walikubeba jukwaju[emoji23][emoji1787]
Nami nataka supu.Jamani jamanii
Hahahah umenikumbusha jana anko wake mzigua anaaga anasema niwarudishe na nyinyi tukamwambia nenda tu sisi ndio kumekucha hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama hujazoea huwezi tuu dear... Nakumbuka kuna siku mpaka nikawa nawasumbua tuondokee Shunie alinunaaa
Sio mkuuPamekaa kama Uhuru park
Nimamie kwenye ceres[emoji41]
Mafurikoo auntieNami nataka supu.
Mmmh, mwalimu umeniongopea[emoji1787]Mwe mwe mweeeeeh!! Mwalimu mimi navaa haiba tu, sina jeans hata moja[emoji134][emoji134]
Wacha bwana!! Kwamba hauna ujasiri?Ngoja nikameze Smirnoff kwanza!!
Siwataji manake roho yangu ni ya nyama!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kina nani eti jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahah umenikumbusha jana anko wake mzigua anaaga anasema niwarudishe na nyinyi tukamwambia nenda tu sisi ndio kumekucha hivi
JamaniSiwataji manake roho yangu ni ya nyama!!
Hahahahhahahahhahahhahahahahhahahaha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama hujazoea huwezi tuu dear... Nakumbuka kuna siku mpaka nikawa nawasumbua tuondokee Shunie alinunaaa
Mie nikitoka kwanza naonaga kero tu, na huyo nilotoka nae ajiandae kisaikolojia. Ushamba mzigo[emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama hujazoea huwezi tuu dear... Nakumbuka kuna siku mpaka nikawa nawasumbua tuondokee Shunie alinunaaa
Sina hata, ujuwe hata kwako saivi sina ujasiri, nina aibu sijui zinatoka wapi[emoji39]Wacha bwana!! Kwamba hauna ujasiri?
AiseeeMwe mwe mweeeeeh!! Mwalimu mimi navaa haiba tu, sina jeans hata moja[emoji134][emoji134]