๐๐๐๐ Last born yule hatari anne akasome..! Hataki hadi watu waniongeleshe kha!! Na utu uzima huu napangiwa wa kuongea nae mbona kizaizai kile!!
Sio ugonjwa kabisa ..
Mfano mimi ni ambivert yaani nina characteristics zote mbili introvet na extrovert . Kuna muda napenda kukaa ndani kutulia kama sina pa kwenda ila wakati mwingine nakuwa wild huyo mcheshi huwezi dhania kama ni mimi .
๐๐๐๐ Last born yule hatari anne akasome..! Hataki hadi watu waniongeleshe kha!! Na utu uzima huu napangiwa wa kuongea nae mbona kizaizai kile!!
Baba siku ile alitaka anichape๐
Waloniboa,,nikaandika barua nikawawekea chumbani๐คฃ๐คฃ๐คฃ,oh mimi ntakufa au nitapotea
Akiyanani ,mzee alivyoanza kusoma...
Eti wewe ndo wa kututishia sisi??ondoka tuone๐๐๐๐,,kufa hapa tuone๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐
Ule mchezo sijarudia tena maishani๐