Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,213
- 29,382
Pole Sana mkuuNakumbuka kitambo sina kitu, mtoto wa watu anaingia shoping ananipendezesha yaani dah! Nipo site huko kwa wamakonde mtoto anaacha kazi zake zote anakuja kunitia moyo asee.. kuna wadada ambao ni wamama.. Nimepoa rafiki na nimezoea japo kuna siku anajaaa akili hadi napata wenge 🥺🥺
Napenda kwata leo na kesho,,, yaani hata niambiwe nn mm,,, kwata naipenda kuliko kulaHahaaa daah umenikumbusha 'range'. Tulikuwa tunaambiwa kuruta mnalenga mijusi tu.
Nimemiss life la 'jakata'. Napenda sana kwata/gwaride na kwenye gradu ya jakata nilichagua hicho kitengo.View attachment 2082724View attachment 2082726
Inaonekana wewe ni introvert eh ?Sina tu ujasiri wa kupokea simu na kuongea.
Usiku mwema pia .Usiku mwema
Kuongea na simu ni hadi nimzoee mtu na niache kumuogopaInaonekana wewe ni introvert eh ?
Ooh okay hapo nimekupata ..Kuongea na simu ni hadi nimzoee mtu na niache kumuogopa
Hata niliyemzoea inategemea ni kwa kiwango gani.Ooh okay hapo nimekupata ..
Si rahisi kuongea sana mtu amabaye hujamzoea .
Nitakupigia nikuchekeshe stori za isimani kwa bibiHata niliyemzoea inategemea ni kwa kiwango gani.
Kiujumla sipendi kuongea na simu yaani siwi comfortable kabisa[emoji16]..ndugu zangu washanijua,huwa wanatuma msg tu.
Steve Gerald alichotufanya Leo nitamtokea usingizini dadekHumu ndani kama kuna Chelsea tafadhali sana nina matokeo yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata niliyemzoea inategemea ni kwa kiwango gani.
Kiujumla sipendi kuongea na simu yaani siwi comfortable kabisa[emoji16]..ndugu zangu washanijua,huwa wanatuma msg tu.
Nakuja kwenu nyumbu wa kuitwa manchester.Steve Gerald alichotufanya Leo nitamtokea usingizini dadek
Hahah!Nitakupigia nikuchekeshe stori za isimani kwa bibi
Mimi naogopa sijui niseme sijazoea .Anha basi itakuwa hupendi tu , wewe ni mtu sms zaidi .
Napendelea zaidi kuongea kwa simu maana inaleta ukaribu fulani hivi .
Anataka akachukue form ya uspika aliuza vingombe hela inamtia ukichaaHahah!
Sasa labda mtu wa mastory kama wewe angalau naweza vumilia kuongea...
Hapo najichekea tu mtoto wa watu.
😂😂😂😂😂😂Anataka akachukue form ya uspika aliuza vingombe hela inamtia ukichaa
Tuhurumie kwa leo mkuu tuna msongo wa mawazoNakuja kwenu nyumbu wa kuitwa manchester.
Msidhani nimewasahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28] pombe za majaba zinaleta Sana confidence[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekucha
Timu la hovyo,kapteni mlevi...linadraw hadi na Aston Villa.Tuhurumie kwa leo mkuu tuna msongo wa mawazo