Kuna siku nipo nimelala mama wa watu sina habari; kuna mtu amenipigia na tunaheshimiana vibaya sana. Nataka kupokea, mweeeh kumbe video call; sijui ningeweka sura langu wapi jamani