Mwili unazingua sana, unawasha washa
... alikuwa mshauri wangu, muombaji wangu, muonaji wangu, msemaji wangu.. nilikuwa na raha.. unakuwa na mtu ambae kesho anakuambia kuna moja mbili tatu inatokea na inakuwa hivyo hivyo, akiniambia usitoke ujue kuna kitu kibaya, mtu ambae anajua mahala nilipo na maendeleo yangu na kama kuna shida mda huo hup napigiwa simu.. asee nimepoteza jembee sana. sema nakaza tu..
Tinsley Asante kwa moyo na faraja