T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,097
- 30,500
Teh!! Depal bhanaKumbe umezaliwa January?? Kwanini hukunisubiri tukuwe mapacha [emoji23]
Happiest birthday swiitatooo
Kumbe mlishafika kwa wanyaturu??? Saivi mpo kwa wawapi??π³ Ukifika zamu ya wanyaki naomba nitagπ€¨πππ..nipo bize naangalia matokeo yaform 2 na 4 huku asee! Usiache kunitagπ€£π€£πSema wanyaturu ni πππ
Mkuu mbona tunapisha kizembe asee.. naondoka kuelekea Mjini daah ππView attachment 2082079Roaming around Capital City
π€£π€£π€£ madeko tena aisee na hii sauti ya nne jamani π πππ Sauti + Sauti.. uzuri hauboi kwenye mastroy.. nime miss madeko yako na kale ka tone ππ
Hahahaha.....Sawa mkuu ngoja tusubiriemkuu humu mm wala sipati tabu,najua wataweka tu wenyewe muda ukifika,hahahaha
Dah noma kweli yani watu wangu wengi tunapishanaπ tmrw mi ndio naingia Town.Mkuu mbona tunapisha kizembe asee.. naondoka kuelekea Mjini daah ππ
Kwa vidole hivo kaka mzuri anafaidiWomen are beautiful [emoji7]
Women with short hair styles are veree buryifoooo [emoji7] [emoji7]
View attachment 2082144
Wanyaki mbona zamanai hatari sana, wanajua kupenda na ni waaminifu.. unakuwa huna mashaka kabisa ya kupigiwaaa πππKumbe mlishafika kwa wanyaturu??? Saivi mpo kwa wawapi??π³ Ukifika zamu ya wanyaki naomba nitagπ€¨πππ..nipo bize naangalia matokeo yaform 2 na 4 huku asee! Usiache kunitagπ€£π€£π
dah! Naenda tu kanisani, baada ya ibada kesho narudi dodoma ππDah noma kweli yani watu wangu wengi tunapishanaπ tmrw mi ndio naingia Town.
ππ.. Unadekaa jamanii na ka sauti kakitooo lol mie hoiiiπ€£π€£π€£ madeko tena aisee na hii sauti ya nne jamani π π
Mjapana kama mjapan ππ
Nilikuambia jana uje chap.. leo tugerudi wote πππNimepamiss Dodoma jamani.
Hiyo mitaa nilikuwa naipenda mno.
Eeh kuendana na hali ya uchumi mjapani lazma ahusike, full tank moja tu!Mjapana kama mjapan ππ
Ungesepa kesho tungedondoka woteNilikuambia jana uje chap.. leo tugerudi wote πππ
Kama kawaaa ππEeh kuendana na hali ya uchumi mjapani lazma ahusike, full tank moja tu!
Wazee wa ma V8 wanakomaπ
Wee dada mzuri kuna jambo ni lazima tuongee πKwa vidole hivo kaka mzuri anafaidi
Unajua mie mzee wa kanisa, kesho lazima niwepo πππ.. nikitoka inadani shwaa dodoma..Ungesepa J3 tungeosha wote
π€£π€£π€£ usinichekeshe HMππ.. Unadekaa jamanii na ka sauti kakitooo lol mie hoiii
Napendaga unavyocheka π
Mie na wewee tena lazima tufurahi tuchekee.. jana nilipata shida sanaa... kufanya manunuzi ya mambo yetu.. na sikununua kesho nitapo enda nakucheki unipe muongozoπ€£π€£π€£ usinichekeshe HM