Kakali hako Alooo
Halafu kamesomea ualimu
Sipati picha huko darasani hali za wanafunzi wake
Sema tulishakajuaga kapo hivi,basi tukawa tunakachukulia tu hivyohivyo...
Sasa ole wenu imbeni mkosee
Huku kenyewe kakikosea utakosa "Oh sorry nimekosea,kanastopisha mziki kwa ishara na kuamuru waanze upya..sasa nyie wengine koseeni muone cha moto"
Utasikia stooop ,,wote kimbia round kumi..hapo kamenuna hako
....
Kuna siku kalinipa za uso...kalinipa wimbo nikamwambia siwezi asee