Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Ila wakurya na hasira ni pete na kidole🙈🏃♀️Hahaaa!sijui kwa nini wanahisi wote wamekeketwa ,ilinitokea Mi nilimpelekaga baba hospital siku moja ,Dk akaniuliza kabila nilivomtajia kabila langu alikataaa mpk akaenda muuliza baba!!!
Alishangaa sana yule Dokta!
Mimi yakwanza ilikua complications during delivery as mwanamke kuna wengine hukata hio plus maeneo ya mashavu ya uke then wanapashona..sasa Wakati wa kujifungua aaaaaaawwwwwwww! !!!kweli kabisa sexual excitement ndio ilikuwa point namba moja kwangu
Hahaaa!sijui kwa nini wanahisi wote wamekeketwa ,ilinitokea Mi nilimpelekaga baba hospital siku moja ,Dk akaniuliza kabila nilivomtajia kabila langu alikataaa mpk akaenda muuliza baba!!!
Alishangaa sana yule Dokta!
kweli kabisa sexual excitement ndio ilikuwa point namba moja kwangu
😀😀😀😀.. eeeh inakuwa sio kazi ndogo kabisaa..daaah!
Wake kwa waume wakogo hvyo ila ukikuta mdada wa muraa kasomaa anakua anajiamini balaaa!hayumbishwi!Ila wakurya na hasira ni pete na kidole
Sema wanyaturu ni 😋😋😋Wanyaturu pia wanafanya
Ndio kwakua ile kiungo ipo sensitive sana katika tendo na ina hisia Kali sana..sasa inapoondolewa lazima ilete migogoro katika family as kitu hakipo so ule msisimko unakosekana tekenya tekenya nawewe chezea chezea nawewe holaaa.. ndio mwanaume anaenda kuhangaika huko nje ambapo ina result mbaya sana ikiwemo psychological effect kwa mwanamke... eeeh inakuwa sio kazi ndogo kabisaa..
Inasikitisha sanaaa 🥺🥺🥺Ndio kwakua ile kiungo ipo sensitive sana katika tendo na ina hisia Kali sana..sasa inapoondolewa lazima ilete migogoro katika family as kitu hakipo so ule msisimko unakosekana tekenya tekenya nawewe chezea chezea nawewe holaaa.. ndio mwanaume anaenda kuhangaika huko nje ambapo ina result mbaya sana ikiwemo psychological effect kwa mwanamke.
Wake kwa waume wakogo hvyo ila ukikuta mdada wa muraa kasomaa anakua anajiamini balaaa!hayumbishwi!
Wanapiga hao watu nimeishi nao maeneo wee wako mjini ila km wako Tarime aseeh!
Enzi hizo alitokeaga jamaa wa kikurya very nice guy kimuonekano n.k sasa kabla sijaanza mahusiano nikamuuliza unapigaga wanawake au unazungumiza vipi kupigwa,alinijibu mi nabutua tu ukinichanganya,nilivotoka pale niliblock kila sehemu nkasema huu msala huu!ataniua huyuu!mwanaume abusive miye sijawahi kupigwa vya kihasirahasira hvyoo!!!hakuamini!hao watu ukikuta mstaarabu sio mpigaji ,shukuru Mungu
Sanaaaa!Inasikitisha sanaaa
! Pia wana roho mbaya fulani ya kikatili by nature!
Eti nabutua tu ukinichanganyaWake kwa waume wakogo hvyo ila ukikuta mdada wa muraa kasomaa anakua anajiamini balaaa!hayumbishwi!
Wanapiga hao watu nimeishi nao maeneo wee wako mjini ila km wako Tarime aseeh!
Enzi hizo alitokeaga jamaa wa kikurya very nice guy kimuonekano n.k sasa kabla sijaanza mahusiano nikamuuliza unapigaga wanawake au unazungumiza vipi kupigwa,alinijibu mi nabutua tu ukinichanganya,nilivotoka pale niliblock kila sehemu nkasema huu msala huu!ataniua huyuu!mwanaume abusive miye sijawahi kupigwa vya kihasirahasira hvyoo!!!hakuamini!hao watu ukikuta mstaarabu sio mpigaji ,shukuru Mungu
Yeahh. Kuna mmoja alikuaga workmate sehemu fulani. Mwanaume ana panga lake kabisa analiweka chini ya kitanda kha!ukikuta mstaarabu na mwenye roho nzuri utainjoi sanaa!
Huyo bora aliingia huko walau ile asili yao na hasira ikikutana na roho wa mungu walau inabalance madhara!Eti nabutua tu ukinichanganya.
Kuna kadada fulani kalikuwa kamwalimu ka uimbaji kanisani asee kalikuwa kanatupeleka moto na ze hasira.
Sijawahi ona mtu ana hasira za ajabu namna ile!
Eti nabutua tu ukinichanganya.
Kuna kadada fulani kalikuwa kamwalimu ka uimbaji kanisani asee kalikuwa kanatupeleka moto na ze hasira.
Sijawahi ona mtu ana hasira za ajabu namna ile!
Ila bado alikua kisirani sasaHuyo bora aliingia huko walau ile asili yao na hasira Ukikutana na roho wa mungu walau inabalance madhara!
Wale lile panga anakabidhiwa siku akitahiriwa na lazima awe nalo na masharti ya panga lile akilitoa halirudi anakukata,asipokukata ni mwiko!yaani hawanaga masihara muraaaa!!Yeahh. Kuna mmoja alikuaga workmate sehemu fulani. Mwanaume ana panga lake kabisa analiweka chini ya kitanda kha!
Nawaza wife materials hapaswi kua mzuri wa sura na umbo