Sasahivi hamnisemi aseeh... 5 fully years nimekaa huko tena kijijini haswaaa! Intiria huko Ukiongea tu kuuliza bei ya kitu wanajua ogu mushwahili hahahaaa..wanakutajia bei kubwaaaa dah!
Au ndo wanasemaga effect of mother tongue! Hivi hata waliozaliwa mijini wana hio kitu yani watoto wa wakule waliozaliwa mikoani vipi nao wanachanganya hizo herufi??
Same here. Huwa naitwa sana mnyamwezi, na wengine huwa wanafikiri nina asili ya kaskazini (the way nilivyo according to their perception + meno yameoza)
Same here. Huwa naitwa sana mnyamwezi, na wengine huwa wanafikiri nina asili ya kaskazini (the way nilivyo according to their perception + meno yameoza)