Selfika na JF: Snap it. Show it

NIPITAPO MAJARIBU
[1]
Nipitapo majaribu, katikati ya miiba,
Ninatosheka kwa kuwa, unanifikiri.

Unanifikiri mimi, waniwaza sana Bwana:
Nahitaji kitu gani? Wewe wanitosha.

[2]
Masumbufu ya dunia yasongayo moyo wangu,
Mwisho yananikumbusha, unafikiri.

[3]
Shida zije au zisije, maisha bora au ya shida.
Mwisho yananikumbusha, unafikiri.
 
Amen
 
Wewe wanitosha[emoji120]
Huu wimbo[emoji91]
 
Kuna boya mmoja alinikomalia eti oooh "hakuna binti wa Kinyaki mweupe. Ogopa matapeli". Namtumia hii picha kama uthibitisho wa kauli yake hiyo ya kibaguzi na isiyo na mashiko katika uhalisia. Rangi ya mtume safii [emoji91][emoji91][emoji91]

ha ha ha wana ubaguzi mwingine utasikia utakua wa Kyela tu sio Tukuyu[emoji28][emoji28][emoji28]

ila ni picha tu uhalisia upo tofauti[emoji3]
 
Here's my all time verse too
The pain you've been feeling can't compare to the joy that is coming. - Romans 8:18
 
Nakwako pia Mkuu uwe na weekend njema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…