Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
🤣🤣🤣🤣Nikiselfika hapa ntaachika .....
Nnavompenda babu yenu sitaki hata kumkwaza...😜.
Kule kwenye Mahaba kaniruhusu mia ya mia.
🤣🤣🤣🤣
Inabidi nije tu huko huko hakuna namna.
Huwa naona mapochopocho ya vyakula😍😋
Achana nayo wewe mkuu. Mi nitapambana mpaka niipate. Picha nimeisubiria tangu kitenge kinanunuliwa na nilishiriki kutuma hata sampo za mishono leo eti inipite hivi hivi. Sikubali!mkuu hata mimi niliiomba sana jana hapa inaonekana kweli imefutwa, tuachane nayo tu..
mweh..Achana nayo wewe mkuu. Mi nitapambana mpaka niipate. Picha nimeisubiria tangu kitenge kinanunuliwa na nilishiriki kutuma hata sampo za mishono leo eti inipite hivi hivi. Sikubali!
Habari nzuri. Yeah! Baada ya kipigo cha Covid kidogo kazi zimerundikana...na zina deadline. Hapa penyewe nipo nimejifungia mahali porini huku napambana nazo. Ni lazima nizimalize on-time kwa sababu nisipofanya hivyo mwenye nazo atakula hasara kubwa sana!Afu sikuhizi bize sana SYB! Habari za weekend mkuu!
Kama siyo hiyo basi tuachane nayo tu kwa kweli. Wiki ijayo sitakaa mbali na hakikisha unanitag japo sometimes hata notifications huwa zinasuasua kwenye simu/app.!Lakini Ya jana sio ile mishono mlotuma na ma mchungaji rafiki! Ni nyingine nilipeleka zamani kidogo..ile bado mpaka wiki ijayo!!
Ahaa kumbe! Pole sana namajukumu ya kazi mkuu take time umalize kazi asee!!Habari nzuri. Yeah! Baada ya kipigo cha Covid kidogo kazi zimerundikana...na zina deadline. Hapa penyewe nipo nimejifungia mahali porini huku napambana nazo. Ni lazima nizimalize on-time kwa sababu nisipofanya hivyo mwenye nazo atakula hasara kubwa sana!
Thanks Boss Lady
View attachment 2081492
Usiwaze rafiki tupo pamoja! I will tag you sema huwa unachelewa sana kutokea sasa!Kama siyo hiyo basi tuachane nayo tu kwa kweli. Wiki ijayo sitakaa mbali na hakikisha unanitag japo sometimes hata notifications huwa zinasuasua kwenye simu/app.
Kuna boya mmoja alinikomalia eti oooh "hakuna binti wa Kinyaki mweupe. Ogopa matapeli". Namtumia hii picha kama uthibitisho wa kauli yake hiyo ya kibaguzi na isiyo na mashiko katika uhalisia. Rangi ya mtume safii
Asante Boss lady. Sijawahi kumiss deadline na naaminika sana. Japo ni makazi magumu lakini nshayazoea. Hii siku mbili tu namaliza japo deadline ni tarehe 20. Huwa napenda kuwapa mapema ili kama kuna marekebisho yanahitajika waseme. Kazi za wazungu inabidi uwe proper vinginevyo hamtaelewana!Ahaa kumbe! Pole sana namajukumu ya kazi mkuu take time umalize kazi asee!!
Last born itabidi tujuane aisee. Ikibidi tuunde chama chetu. Ila hakuna kununa wala kuzira bila sababu
Mungu awe nawe katika kazi zako rafiki! 🙏Asante Boss lady. Sijawahi kumiss deadline na naaminika sana. Japo ni makazi magumu lakini nshayazoea. Hii siku mbili tu namaliza japo deadline ni tarehe 20. Huwa napenda kuwapa mapema ili kama kuna marekebisho yanahitajika waseme. Kazi za wazungu inabidi uwe proper vinginevyo hamtaelewana!
Yeah! Literally stopped everything for my baby girl. 13 yrs and counting. Total sacrifice and commitment to her. Mpaka imefika mahali sasa ameanza kuniambia eti anataka mdogo wake. Namwambia mdogo wako mi nitampata wapi na uzee huu...and she is like dad please do something. I need a young sis or a bro....Fathers, be your daughter’s first love and she’ll never settle for anything less."
Yeah! Literally stopped everything for my baby girl. 13 yrs and counting. Total sacrifice and commitment to her. Mpaka imefika mahali sasa ameanza kuniambia eti anataka mdogo wake. Namwambia mdogo wako mi nitampata wapi na uzee huu...and she is like dad please do something. I need a young sis or a bro....
Kwa msaada wa Mungu I hope that I have raised a strong woman who, though gentle and humble, knows her worth and her place in this world
View attachment 2081510View attachment 2081513View attachment 2081515