mahondaw mama, nashindwa kuondoka hapa nikiona comment zako, basi nimebadili msimamo na ni mara chache kufanya hivyo....okay, as long as uko hapa na mimi ntabakia..

ndo ilikuwa kwaheri hiyo si niliweka ahadi jioni haiwezekani mi naumia then sipati nnachokitamani niache kwanza ngoja moyo wangu upoe kwanza bado kuna visindano vinachoma choma..