Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,568
- 235,405
πππMweeeh nyie[emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
Niambie nitumie mbinu ipi kuweza kula hela yako Mama Mchungaji?
Fanya tuchange nikufungulie biashara ila nitakwenda China kukufungia mzigo wa Dukani [emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Tutaingia mbinguni tumechoka sanaaa πππYaani akifika pamoja na ujuzi wake kwenye mambo yale akiomba kamilioni faster tu unaenda Benki kumtolea.
Kweli tumeumbiwa mateso ππ
Niombee hii roho initoke, nisije kupanga foleni kuomba omba barabarani nikiwa Mzee πππππMmmh bado una moyo mzuri aisee. Wenzako mwanamke ukiitwa tu ka dinner, wakati anakunywa soda, anasikia kidume anauliza "vyumba vipo muhudumu? (Natania mweeh)[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Najiona nani vile sijui
Hahahah!
Katika watu wanakula raha duniani mimi namba mbili(akitoka makonda)πππAah enjoy mama
Niombee hii roho initoke, nisije kupanga foleni kuomba omba barabarani nikiwa Mzee [emoji87][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Katika watu wanakula raha duniani mimi namba mbili(akitoka makonda)[emoji23][emoji23][emoji23]
Umepotea sana wee mwanaume!Nakuona tu..
Shukrani sana rafiki!
π€£π€£π€£π€£π€£Si umeona mla raha mwenzio alipo leo?
Itajulikana mbele ya safari, utajikuta zile ulizozificha unazitoa nakunipa πUzuri sina hela ya kuliwa; labda nile ya kwako[emoji23][emoji23][emoji23]
πππππππππππ!na aliekwambia nataka wadogo nani?! ujue nimefanya vetting ya kiwango cha special forces wa urusi af mambo ya umri hayakuhusu kwani we unajua umri wangu!? acha kujifanya mfanyakazi wa RITA basi nifungulie tusalimiane yaishe hujui hamu yangu ikiisha utakuwa umenisaidia..
Pendael24 anaendeleajeS
Shukrani sana rafiki!
Ni mimi tena niko juuπ
Bora nisogee mbele zako tu utanihurumia kwenye vizingaKwa kweli; maana karoho ka kutapanya kapo nawe. Usije ukashindwa hata kupata kipande cha mkate
please please nasubiri kuona muujiza wa salamu huko π π..πππππππππππ!