Ndiyo maana nataka niende Kijijini wakanitapishe, huenda Kuna vitu wamenilisha. Hizi sio akili zangu kabisa Mama Mchungaji πDaah kumbe maisha marahisi hivi jamani[emoji22][emoji22]
Yaani weweπππππππ mjengee kabisaa.. kuna kipindi michepuko inasaidia akili inakuwa faster sana kufikiri na kuona fursa mpya
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£nitamuambia namsubiri boss wangu.. siku hizi sinyoi ndevu na upaa na kile kipli pilii kamechachamaaaa..... lazima aamini tuπππ
π€£ππππ jioni hiii mwenzangu siku lazima iishe tu kwa furahaYaani weweππππ
MakiwendoKwamba umeapa kutokutana na member yoyote wa JF nje ya jukwaa?seme kweli[emoji2]
Kwa nini Warembo wanakupiga Dana dana Mzee? Mimi nipo Usukumani huku na jirani yangu T 1990 ELY karibu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuji[emoji38][emoji38][emoji38]Eeeeh!![emoji134][emoji134]
Basi njoo uwasalimie japo wengine[emoji19]
nitamuambia namsubiri boss wangu.. siku hizi sinyoi ndevu na upaa na kile kipli pilii kamechachamaaaa..... lazima aamini tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Hilo ni kweli kabisa, Nina ushuhuda naloπππ mjengee kabisaa.. kuna kipindi michepuko inasaidia akili inakuwa faster sana kufikiri na kuona fursa mpya
Ndiyo maana nataka niende Kijijini wakanitapishe, huenda Kuna vitu wamenilisha. Hizi sio akili zangu kabisa Mama Mchungaji [emoji134]
Hilo ni kweli kabisa, Nina ushuhuda nalo
Kinachoniuma nikiwa kwao sijutii kabisa hizi hela ninazotumia kuwapa ila nikiwa mbali kama hivi basi ndiyo akili zinanirudia na kuanza kuziwazia hela zangu [emoji22][emoji119]
Hivi mbona ile siku tumeonana ulikuwa huongei hivi?π€£π€£π€£π€£ππππ jioni hiii mwenzangu siku lazima iishe tu kwa furaha
Namuonea huruma mke wake.Uje tukufanyie maombi khaaa
Niko tayari kuja hata Leo, nimechoka kuchunwa πUje tukufanyie maombi khaaa
Umesahau kunitagππ€¦ββοΈKaribuni jamana kahawa ya usiku ππππView attachment 2079702
π₯Ίπ₯Ίπ₯ΊSikuji[emoji38][emoji38][emoji38]
Namuonea huruma mke wake.
Na siku hizi michepuko ina roga kwelii.. kama unayo minne, ikikuroga yote kwisha kabisa π€£π€£π€£Ndiyo maana nataka niende Kijijini wakanitapishe, huenda Kuna vitu wamenilisha. Hizi sio akili zangu kabisa Mama Mchungaji π
Niko tayari kuja hata Leo, nimechoka kuchunwa [emoji23]