Selfika na JF: Snap it. Show it

Amen.Na ikawe kama unenavyo
 
Usinichambe mama mchungaji.Ila upendwa wako wewe unaonekana mpka kwenye mwandiko🀣🀣

Nashukuru umezungumzia makundi yote mawili.Ila wapo
 
Wanaotuumiza ni wale tunaowaamini sana, huwezi kumwamini mtu kama hujamfanya kuwa rafiki. Unamwamini hadi kumkopesha milioni kadhaa na kuamini zitarudi...au unampa na kusahau kama ulimpa 500k atatue mambo yake.

Tatizo ni pale unamfanya mtu kuwa so close, anapata majanga unaona aaah huyu si mtu muhimu sana kwangu, ngoja nimpe hata 2m atarudisha, weeeee....majibu unayo!

Pesa inaweza isiwe issue, snitching kwangu ni issue kubwa. Unaishi na rafiki kunguni, anachukua hili anapeleka kule analeta huku anavuruga tu, siku ukijua it's late. Choose your friends with care aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…