Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
eeh yani.. naona kateleza kuwaza mama mtumishi
Kabisa yaani.
Nilisahau kumwambia sisi ni ndugu wa tumbo moja
Kumbe boss kabisa
Kabisaa, waelekeze na mabinti wenzio sasa
Sasa uanze kutumia newKJV,
Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, ipo siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza chakula cha kula maana "kikulacho kinguoni mwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake!
Haya maneno ya kweli?
Mimi nilishakuelewa sana,basi tu tunajitoa ufahamu,tunakuchezea🤣😂.Akhuuu. Mimi nilisemea tu mazingira ya hotelini sio salama sana kiroho, si unajua yanayotendeka humo ni mengi. Mnaweza mkaingia chumba "kichafu", automatically kikapunguza uwepo kwa asilimia fulani. Kuomba unaomba mahali popote tu;lakini kuna zile sehemu zetu huwa tunazitenga maalumu kwa ajili ya maombi; zinakuwa sacred.
Kwani nyie kaka na dada mliwaza nini?
Mimi nilishakuelewa sana,basi tu tunajitoa ufahamu,tunakuchezea.
Ukweli upo wazi,huko mahala si salama sana kwa afya za Kiroho.
Hahaa kumbe vipensi hawaruhusu bora umeniambia mapema maana nilikuwa na mpango siku niende nimetinga pensi. Enhe kwahiyo niambie ni mavazi gani ambayo ukivaa hawakuzingui.Ofcoz mmiliki ni mmoja. Swala la wanafunzi wataenda wapi, wataenda walipokua wanaenda kabla ya Pestana.
Ofcoz ile tabia sio poa kabisa japo binafsi naamini kwa msongamano ule wa bambalaga, ukiumix na tabia za wanafunzi walio wengi panakua pahovyo flan.
Maono yalikua mazuri sana, kufanya pawe sehemu ya namna flan, ila utekelezaji ndo una maudhi.
Tulienda team kwa kaz flan, mmoja wetu alivaa kwa namna isiyoendana kidogo, ni mithili ya pensi uliyovaa wewe janawakati uko wimpy pale round about unapata kiepe, sasa yeye ni mwanaume (if you know you know). Na mwingine alivaa crazy jeans. Ilikua maudhi, nusu tuliingia nusu walibaki. Kwa sababu ya kufanya kilichotupeleka ilibidi watumie vitambulisho. Japo kwa kipensi kile hata mimi niliona aibu.
Gauni la kitengeHahaa kumbe vipensi hawaruhusu bora umeniambia mapema maana nilikuwa na mpango siku niende nimetinga pensi. Enhe kwahiyo niambie ni mavazi gani ambayo ukivaa hawakuzingui.
Natafuta cha kukuchezea nacho hapa ila sikioniEeh basi tuendelee kuchezeana
Dogo usitake nikale mitama niaibike mbele za watu aseeGauni la kitenge
Hadi umpate huyo rafiki was kweli hapo ndio mtihani ulipo, manake watu wamekuwa na roho mbaya sana siku hizi.Inaweza ikawa kweli au sio kweli pia. Leo kuna watu wengi tu ambao wameinuliwa na marafiki zao, wakati ndugu zao walikuwa na uwezo wa kuwasaidia and yet waliwatelekeza. Mungu akikujaalia ukampata rafiki mwema; unakuwa umejipatia kitu chema sana.
Nitakufundisha kuvaa.Dogo usitake nikale mitama niaibike mbele za watu asee
Rafiki wa kweli ni YesuHadi umpate huyo rafiki was kweli hapo ndio mtihani ulipo, manake watu wamekuwa na roho mbaya sana siku hizi.
Yuko wapi!!!Rafiki wa kweli ni Yesu
1st born sitaki aisee.
Ndugu zake wataniendesha sana...
Nataka wa katikati,asiwe last wala first bornn.
Tuna matatizo,attention seeker.Last born wana nini Nkamu
Hapo ulipo,ukimwita anakuja.Yuko wapi!!!
Acha nafharia basi!!Hapo ulipo,ukimwita anakuja.
Hebu mjaribu kwa kumwita uone kama hatakuja.Acha nafharia basi!!