πππ sijuagi kuomba na mtu.. sehemu kubwa ya maombi yangu ni silence prayer.. na maombi ya meditation.. na kuhitaji utulivuuu tuuu.. kukiwa na combinega naweza anzisha story tu πππ
Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, ipo siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza chakula cha kula maana "kikulacho kinguoni mwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake!